top of page
Radio on air
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.webp)
![LORI JAPAN LAPATIKANA KWENYE BOMBA LA MAJI TAKA WIKI CHACHE BAADA YA KUANGUKIA KWENYE SHIMO](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.webp)
LORI JAPAN LAPATIKANA KWENYE BOMBA LA MAJI TAKA WIKI CHACHE BAADA YA KUANGUKIA KWENYE SHIMO
Na VENANCE JOHN Kabati la Lori ambalo lilimezwa na shimo kubwa la kuzama (sinkhole) nchini Japan wiki mbili zilizopita limekutwa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_df6b31a3d0db4946ab1b8ad01bb88241~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_df6b31a3d0db4946ab1b8ad01bb88241~mv2.webp)
![WAUGUZI WAWILI AUSTRALIA WASIMAMISHWA BAADA YA VIDEO KUWAONESHA WAKIKATAA KUWATIBU WAISRAELI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_df6b31a3d0db4946ab1b8ad01bb88241~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_df6b31a3d0db4946ab1b8ad01bb88241~mv2.webp)
WAUGUZI WAWILI AUSTRALIA WASIMAMISHWA BAADA YA VIDEO KUWAONESHA WAKIKATAA KUWATIBU WAISRAELI
Na VENANCE JOHN Wauguzi wawili nchini Australia wamesimamishwa kazi baada ya video kuwaonesha wakitishia kuwaua wagonjwa wa Israeli na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_16d3c6b72a794fe497ab4e4e767d170e~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_16d3c6b72a794fe497ab4e4e767d170e~mv2.webp)
![NCHI 3 ZA AFRIKA ZASAINI MKATABA WA BOMBA LA GESI ASILIA LA KUPELEKA GESI ULAYA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_16d3c6b72a794fe497ab4e4e767d170e~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_16d3c6b72a794fe497ab4e4e767d170e~mv2.webp)
NCHI 3 ZA AFRIKA ZASAINI MKATABA WA BOMBA LA GESI ASILIA LA KUPELEKA GESI ULAYA
Na VENANCE JOHN Maafisa kutoka nchi za Algeria, Nigeria na Niger wametia saini mikataba mipya inayolenga kuharakisha uendelezaji wa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_c2ae7793bac64923a861bb83d1c6c4c1~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_c2ae7793bac64923a861bb83d1c6c4c1~mv2.webp)
![TRUMP AMWAMBIA MFALME WA JORDAN KUWA GAZA ITAKUWA MALI YA MAREKANI, HII NI MARA YA TATU KUSISITIZA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_c2ae7793bac64923a861bb83d1c6c4c1~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_c2ae7793bac64923a861bb83d1c6c4c1~mv2.webp)
TRUMP AMWAMBIA MFALME WA JORDAN KUWA GAZA ITAKUWA MALI YA MAREKANI, HII NI MARA YA TATU KUSISITIZA
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine amesisitiza kuwa Marekani itachukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza. Trump...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2b599eb26c9d40a3a94ad52186d53f1e~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_2b599eb26c9d40a3a94ad52186d53f1e~mv2.webp)
![HAMAS YAMJIBU TRUMP, NI BAADA YA KUSEMA KUFIA JUMAMOSI MATEKA WOTE WAACHILIWE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2b599eb26c9d40a3a94ad52186d53f1e~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_2b599eb26c9d40a3a94ad52186d53f1e~mv2.webp)
HAMAS YAMJIBU TRUMP, NI BAADA YA KUSEMA KUFIA JUMAMOSI MATEKA WOTE WAACHILIWE
Na VENANCE JOHN Msemaji mkuu wa Hamas Sami Abu Zuhri anasema kuwa Rais wa Marekani Doanald Trump lazima akumbuke kwamba kuna...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4b314d71fcfe4a2caa639589f63f73a5~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_4b314d71fcfe4a2caa639589f63f73a5~mv2.webp)
![MWANASIASA MKONGWE NCHINI UGANDA DR. KIZA BESIGYE AGOMA KULA GEREZANI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4b314d71fcfe4a2caa639589f63f73a5~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_4b314d71fcfe4a2caa639589f63f73a5~mv2.webp)
MWANASIASA MKONGWE NCHINI UGANDA DR. KIZA BESIGYE AGOMA KULA GEREZANI
Na VENANCE JOHN Kiongozi wa upinzani wa Uganda Dr. Kizza Besigye, amesusia kula katika gereza la Luzira mjini Kampala. Wasaidizi...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_be13e3d56ed641b5892a0fd057ce6936~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_be13e3d56ed641b5892a0fd057ce6936~mv2.webp)
![IDARA YA SHERIA MAREKANI YAAMURU MEYA WA NEW YORK ERIC ADAMS KUONDOLEWA MASHTAKA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_be13e3d56ed641b5892a0fd057ce6936~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_be13e3d56ed641b5892a0fd057ce6936~mv2.webp)
IDARA YA SHERIA MAREKANI YAAMURU MEYA WA NEW YORK ERIC ADAMS KUONDOLEWA MASHTAKA
Na VENANCE JOHN Idara ya Sheria NCHINI Mrekani imewaagiza waendesha mashtaka wa wa serikali ya Marekani huko New York kufuta mashtaka...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.webp)
![TRUMP ATIA SAINI AGIZO LA UTENDAJI KURUHUSU MIRIJA YA PLASTIKI KUANZA KUTUMIKA TENA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.webp)
TRUMP ATIA SAINI AGIZO LA UTENDAJI KURUHUSU MIRIJA YA PLASTIKI KUANZA KUTUMIKA TENA
Na VENANCE JOHN Rais Donald Trump ametia saini agizo kuu linalolenga kuhimiza serikali ya Marekani na watumiaji mirija ya plastiki,...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.webp)
![TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.webp)
TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
![SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI
Na VENANCE JOHN Pendekezo la sheria mpya ya Uingereza ya kusaidiwa kufa kwa wagonjwa mahututi itarekebishwa ili kuondoa sharti kwamba...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.webp)
![VISA VYA EBOLA VILIVYOTHIBITISHWA NCHINI UGANDA VYAONGEZEKA MPAKA TISA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.webp)
VISA VYA EBOLA VILIVYOTHIBITISHWA NCHINI UGANDA VYAONGEZEKA MPAKA TISA
Na VENANCE JOHN Wizara ya afya ya nchini Uganda imesema, idadi ya kesi zilizothibitishwa za mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.webp)
![TRUMP ASEMA HAMAS INAPASWA KUWAACHILIA MATEKA WOTE IFIKAPO JUMAMOSI MCHANA AU KIAMA KIZUKE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.webp)
TRUMP ASEMA HAMAS INAPASWA KUWAACHILIA MATEKA WOTE IFIKAPO JUMAMOSI MCHANA AU KIAMA KIZUKE
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba Hamas inapaswa kuwaachilia mateka wote wanaoshikiliwa na kundi hilo...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.webp)
![KOREA KASKAZINI YAONYA KULIPIZA KISASI BAADA YA MELI yA NYUKLIA YA MAREKANI KUINGIA KOREA KUSINI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.webp)
KOREA KASKAZINI YAONYA KULIPIZA KISASI BAADA YA MELI yA NYUKLIA YA MAREKANI KUINGIA KOREA KUSINI
Na VENANCE JOHN Korea Kaskazini imesema vikosi vyake vya kijeshi viko tayari kuchukua hatua zozote zinazohitajika baada ya manowari ya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.webp)
![URUSI YAJIBU VITISHO VYA TRUMP DHIDI YA NCHI ZA BRICS KUWEKEWA USHURU WA 100%](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.webp)
URUSI YAJIBU VITISHO VYA TRUMP DHIDI YA NCHI ZA BRICS KUWEKEWA USHURU WA 100%
Na VENANCE JOHN Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kutoza ushuru...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.webp)
![KANSELA WA UJERUMANI OLAF SCHOLZ ASEMA UMOJA WA ULAYA UTAJIBU MAPIGO YA TRUMP YA USHURU](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.webp)
KANSELA WA UJERUMANI OLAF SCHOLZ ASEMA UMOJA WA ULAYA UTAJIBU MAPIGO YA TRUMP YA USHURU
Na VENANCE JOHN Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameonya kwamba iwapo Marekani itaweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.webp)
![WANAJESHI 84 WA JESHI LA CONGO DR KUSHTAKIWA KWA TUHUMIWA ZA MAUAJI YA RAIA NA KUPORA MALI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.webp)
WANAJESHI 84 WA JESHI LA CONGO DR KUSHTAKIWA KWA TUHUMIWA ZA MAUAJI YA RAIA NA KUPORA MALI
Na VENANCE JOHN Mahakama yakijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC imefunguwa kesi mjini Bukavu dhidi ya askari 84 wa jeshi...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.webp)
![TAMASHA LA ED SHEERAN LAKATIZWA NA POLISI INDIA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.webp)
TAMASHA LA ED SHEERAN LAKATIZWA NA POLISI INDIA
Na VENANCE JOHN Mwimbaji na mtumbuizaji maarurufu kutoka nchini Uingereza, Ed Sheeran amejikuta akifadhaika baada ya tamasha lake...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.webp)
![ATAFUTWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MZAZI MWENZAKE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.webp)
ATAFUTWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MZAZI MWENZAKE
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani inaeleza kuwa . "Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Iinamtafuta Abdallah Mohammed miaka...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.webp)
![MCHUNGAJI MALISA AFUKUZWA CCM KISA ALIPINGA RAIS SAMIA KUPITISHWA KUWA MGOMBEA PEKEE URAIS 2025](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.webp)
MCHUNGAJI MALISA AFUKUZWA CCM KISA ALIPINGA RAIS SAMIA KUPITISHWA KUWA MGOMBEA PEKEE URAIS 2025
Na VENANCE JOHN Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.webp)
![BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE KISA UKATA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.webp)
BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE KISA UKATA
Na VENANCE JOHN Bunge la nchi za Afrika Mashariki, EALA limetangaza kuwa limesimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page