top of page
Radio on air
TRUMP ATIA SAINI KUFUTA VISA KWA WANAFUNZI WA WANAOUNGA MKONO PALESTINA
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya utendaji hapo jana ya kukabiliana na chuki dhidi ya Wayahudi na...
WAKIMBIZI MAREKANI SASA KUPELEKWA GUANTANAMO
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa ana mipango ya kuandaa kituo cha kushikilia wakimbizi katika gereza...
KWA HOFU WAKAZI WA GOMA WAWASALIMIA NA KUWAKARIBISHA KWA SHANGWE WAASI WA M23
Na VENANCE JOHN Wakaazi wa jiji kubwa zaidi mashariki mwa DR Congo wa Goma walisalimiana na waasi wa M23 wakati wakiwasili katika jiji...
WAASI WA M23 WALITEKA JIJI LA GOMA, RAIS RUTO WA KENYA AITISHA KIKAO CHA DHARURA
Na VENANCE JOHN Waasi wanaoungwa mkono na Rwanda wamesonga mbele katika uwanja wa makabilano mpaka katikati mwa jiji kubwa zaidi...
NAMTUMBO YANUFAIKA NA FAIDA YA MAUZO YA TUMBAKU
Kampuni ya PREMIUM ACTIVE TANZANIA Limited, imetoa madawati 83 wilayani Namtumbo, kati ya jumla ya madawati 1000 waliyotoa mwaka huu...
TRUMP ATOA MSAMAHA KWA WANAHARAKATI WANAOPINGA UTOAJI MIMBA, LEO KUWAHUTUBIA
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump ametoa msamaha kwa wanaharakati wanaopinga uavyaji mimba (utoaji mimba) 23 waliokuwa...
RAIS TRUMP ATUMA WANAJESHI 1500 MPAKANI NA MEXICO KUWAZUIA WAHAMIAJI
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani, Donald Trump ameamuru maafisa wa Marekani kuandaa mipango ya kurudisha mara moja wahamiaji...
MBOWE AMPONGEZA LISSU KWAUSHINDI, AMTAKIA KILA LA KHERI
Baada yaTundu Lissu kumuondoa Freeman Mbowe kwenye kiti cha Uwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi uliofanyika usiku wa kuamkia leo. Tundu...
TRUMP ASAINI SHERIA YA KUIPIGA MARUFUKU WHO NHINI MAREKANI
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini, amri ya kuanza mchakato wa kuiondoa Marekani kuwa mwanachama wa Shirika...
NAIBU WA TALIBAN ATAKA UONGOZI KUONDOA MARUFUKU YA ELIMU KWA WANAWAKE, ASEMA SI SHERIA YA KIISLAMU
Na VENANCE JOHN Kiongozi mwandamizi katika kundi la Taliban amemtaka kiongozi wa kundi hilo kufuta marufuku ya elimu kwa wanawake na...
WAFUASI WA RAIS ALIYEKAMATWA WAVAMIA MAHAKAMA YA BAADA YA KUAMRIWA AENDELEE KUSOTA KIZUIZINI
Na VENANCE JOHN Mahakama ya Korea Kusini imeongeza muda wa kuzuiliwa kwa Rais Yoon Suk-yeol kwa hadi siku 20, na kusababisha...
CHINA YAWANYONGA MADEREVA WALIYOWAUA MAKUMI YA WATU KWA GARI, MMOJA ALIFANYA HIVYO SABABU YA TALAKA
Na VENANCE JOHN China imewanyonga wanaume wawili madereva waliohusika na mashambulizi mawili mabaya ndani ya wiki moja mwezi Novemba...
WAFUNGWA 90 WA PALESTINA WAACHIWA HURU KWA KUBADILISHANA NA MATEKA 3 TU WA ISRAEL
Na VENANCE JOHN Wapalestina 90 wameachiwa huru kutoka jela la Ofer lililoko katika Ukingo wa Magharib. Kuachiwa kwa mateka hao ni...
ISRAEL NA HAMAS WAKUBALIANA KUSITISHA MAPIGANO, MATEKA KUANZA KUACHIWA JUMAPILI MCHANA
Na VENANCE JOHN Hatimaye makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na kundi la Hamas yamefikiwa baada ya kushindwa kufikiwa...
RANGI NYEKUNDU NAMBARI 3 YAPIGWA MARUFUKU KUWEKWA KATIKA VYAKULA, VINYWAJI NA MADAWA
Na VENANCE JOHN Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani imepiga marufuku matumizi ya rangi nyekundu nambari 3 katika vyakula,...
KAMPUNI YA MAREKANI ILIYOSHUTUMU BILIONEA ADAN WA INDIA KUFUNGWA
Na VENANCE JOHN Kampuni ya utafiti kutoka Marekani ambayo ilikuwa imechapisha ripoti zinazoshutumu mashirika makubwa ya kifedha nchini...
ISRAEL YAWAUA WATU 70 GAZA MUDA MFUPI BAADA YA MAKUBALIANO YA KUSITISHA MAPIGANO
Na VENANCE JOHN Mashambulizi ya anga ya Israel yamewauwa takriban watu 70 huko Gaza usiku wa kuamkia leo Alhamisi. Wakaazi na mamlaka...
KWA MARA YA KWANZA MICHELLE OBAMA KUVUNJA UTAMADUNI WA MAREKANI, HATOHUDHURIA KUAPISHWA KWA TRUMP
Na VENACE JOHN Mke wa rais wa zamani Michelle Obama hatahudhuria kuapishwa kwa Donald Trump wiki ijayo. Taarifa hii imetolewa na ofisi...
LEMA AMUUNGA MKONO LISSU ASEMA UCHAGUZI UKIWA HURU NA HAKI MBOWE HAWEZI KUSHINDA
Na VENANCE JOHN Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Bw. Godbless Lema...
KIONGOZI WA ACT-WAZALENDO DOROTHY SEMU ATANGAZA KUGOMBEA URAIS 2025
Na VENANCE JOHN Kiongozi wa chama cha upinzani hapa nchini cha ACT -Wazalendo Dorothy Semu ameweka wazi nia yake kugombea nafasi ya...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page