top of page
Radio on air


MAKUMI YA RAIA WANAOIKIMBIA KOREA KASKAZINI WALIOKAMATWA NA POLISI WA SIRI WALITOWEKA; LINASEMA SHIRIKA LA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU
Na VENANCE JOHN Zaidi ya raia 100 wa Korea Kaskazini wametoweka baada ya kukamatwa na polisi wa siri walipokuwa wakijaribu kuihama...


NI DHAMIRA YA SERIKALI KULIPA FIDIA WANANCHI WANAOPISHA MIRADI YA MAENDELEO- MHE. KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ni dhamira ya Serikali kuhakikisha kuwa wananchi wote wanaopisha miradi ya maendeleo...


GUINEA YAVUNJA VYAMA 67 VYA UPINZANI, NA KUBAKISHA VIWILI TU
Na Ester Madeghe, Mamlaka ya Guinea imefuta na kuvunja makumi ya vyama vya siasa na kuacha viwili vikuu vya upinzani chini ya...


"ADUI WA ISRAEL NI NETANYAHU, AMBAYE NDIYO CHANZO CHA VITA NA UGAIDI" - WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA ISRAEL OLMART
Na Ester Madeghe, Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Olmart amesema adui mkubwa wa utawala wa Israel sio Iran, Hizbullah wala Hamas...


IRAN KUONGEZA BAJETI YA ULINZI KWA ASILIMIA 200 ZAIDI YA AWALI
Na VENANCE JOHN Msemaji wa serikali ya Iran Fatemeh Mohajerani ametangaza kuwa bajeti ya jeshi la nchi hiyo itaongezeka kwa 200%....


AFRIKA KUSINI YAWASILISHA ZAIDI YA KURASA 750 NA VIAMBATISHO 4000 VYA USHAHIDI DHIDI YA ISRAEL MAHAKAMA YA ICJ
Na VENANCE JOHN Ofisi ya rais wa Afrika Kusini imesema katika taarifa yake kuwa Afrika Kusini imewasilisha ushahidi wa kesi yake ya...


UTURUKI YAADHIMISHA MIAKA 101 YA JAMHURI
Na Ramla Ramadhan Miaka 101 imeadhimishwa nchini Uturuki kufuatia sherehe nchi nzima zinazoadhimisha siku hiyo ya kihistoria ...


RAIS WA ZAMANI WA UFILIPINO AKIRI ALIKUWA NA KIKOSI CHA MAJAMBAZI SABA, "WASHUKIWA WA DAWA ZA KULEVYA NILIKUWA NAWAUA MWENYEWE, NA SI KUWAFUNGA"
Na Ester Madeghe Rais wa zamani wa Ufilipino Rodrigo Duterte amekiri kwamba aliunda "kikosi cha kifo" ili kukabiliana na uhalifu...


WATAFITI WAPATA JIJI LILILOPOTEA KWA BAHATI MBAYA KATIKA MSITU WA MEXICO
Na VENANCE JOHN Jiji kubwa la Mya limegunduliwa baada ya karne nyingi za kutoweka katika misitu huko Mexico. Watalaamu wa shughuli za...


YEMEN YASHAMBULIA MELI TATU ZA ISRAEL KWA MAKOMBORA YA BALESTIKI
Na Ester Madeghe, Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimetangaza kuwa vimezishambulia meli tatu kwa kukiuka marufuku iliyowekwa na nchi hiyo...


JESHI LA ISRAEL LIMEWAUA WAPALESTINA 55 KATIKA SHAMBULIO LA KASKAZINI MWA GAZA
Na Ester Madeghe, Jeshi laa Israel limewauwa watu wasiopungua 55 katika shambulio dhidi ya jengo moja huko Beit Lahiya. Makumi ya...


MCHUNGAJI WA NGO'MBE ADAIWA KUMUUA BOSS WAKE MWANAMKE WA MIAKA 77
Na Godson Mbilinyi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ACP Muhudhwari R. Msuya ambaye ni Kaimu Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Pwani...


MWANAMKE AMFUNGIA MPENZI WAKE KWENYE BEGI LA NGUO WAKICHEZA MPAKA KUFA, KUHUKUMIWA DISEMBA 2
Na VENANCE JOHN Mwanamke katika jimbo la Florida nchini Marekani amepatikana na hatia ya mauaji ya daraja la pili baada ya mamlaka...


PANGA PANGUA YA MUSEVENI, YAWAPIGA PANGA VIONGOZI SEKTA YA KILIMO
Na Ester Madeghe, Mamlaka ya Maendeleo ya Kahawa nchini Uganda (UCDA) ni wakala wa serikali iliyopewa jukumu la kukuza na kusimamia...


MAMA MJAMZITO AFARIKI BAADA YA KUGONGWA NA LORI APASUKA TUMBO MTOTO ATOKA AKIWA HAI
Mama mjamzito mkazi wa Kijiji cha Kidubwa wilayani Mkuranga, Chuki Hassan, amefariki dunia baada ya lori la mchanga kumkanyaga akiwa...


MUASI WA ZAMANI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 40 JELA NCHINI UGANDA, MAWAKILI WAKE WASEMA WATAKATA RUFAA
Na Ester Madeghe, Aliyekuwa kamanda wa Lord's Resistance Army (LRA) Thomas Kwoyelo amehukumiwa kutumikia adhabu ya miaka 40 jela kwa...


WANAJESHI 10 WA ISRAEL WAMEUAWA KATIKA SHAMBULIO LA MOTO NA RISASI LA HEZBOLLAH
Na Ester Madeghe, Shambulio lingine limetokea hivi punde, ambapo wanajeshi watano wa Israel kusini mwa Lebanon wamepigwa risasi na...


ONGEZEKO KUBWA LA UBAGUZI DHIDI YA WAISLAMU LATANDA BARANI ULAYA" - UTAFITI WA SHIRIKA LA UMOJA WA ULAYA LA HAKI ZA MSINGI(FRA)
Na Ester Madeghe Uchunguzi mpya umebaini kuwepo kwa "ongezeko kubwa linalotia wasiwasi" la ubaguzi wa rangi dhidi ya Waislamu barani...


WATOTO MILIONI 10.8 NA WAJAWAZITO MILIONI 1 WANAKABILIWA NA UTAPIAMLO NCHINI KENYA
Na Ester Madeghe, Mamlaka ya Taifa ya Kudhibiti Ukame nchini Kenya (NDMA) imesema kuwa takribani watoto 479,498 wenye umri wa miaka...


ISRAEL YATISHIA USALAMA WA MAISHA YA WAANDISHI WA HABARI GAZA
Na Ester Madeghe, Jeshi la Israel limetoa ripoti inayowashutumu waandishi wa habari kadhaa, kwa kuwa na uhusiano na Hamas pamoja na...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page