"INAUMA KUPOTEZA ILA RAHA KUWA NA LIGI YENYE USHINDANI" SIMON PATRICK
top of page
Radio on air
Kutoka kwa Mwanasheria wa Yanga Simon Patrick ameandik Inauma sana kupoteza mchezo ila ni raha sana kuwa bingwa kwenye ligi yenye...
KIPI KIMEWAUMA KUPOTEZA MECHI AU KUFUNGWA NA ZANZIBAR FINEST - AHMED ALL
Kutoka kwa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka akiuliza kwamba "Nyie Nyuma Mwiko kipi kimewauma sana kupoteza...
TUNAOMBA RADHI KWA KUPOTEZA- PACOME
Mchezaji wa Yanga SC Pacome Zouzoua ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya klabu yake anayochezea kupoteza...
FULL TIME SILENT OCEAN
RAMADHAN CUP 2024 GSP FC 2 - 1 CROWN FC Team ya Alikiba imepoteza mchezo wa kwanza hatua ya makundi.
MWANADADA MTANZANIA CLARALUVANGA
AIPA UBINGWA TIMU YA RONALDO UPANDE WA WANAWAKE Fahamu kuwa Mshambuliaji wa timu ya Al Nassr ya Saudi Arabia upande wa Wanawake...
KOCHA WA ASEC MIMOSAS AFURAHIA KUTOPANGWA NA YANGA ROBO FAINALI CAFCL
Kocha wa Asec Mimosas Julien Chevalier amefunguka haya "Nilifurahi kuona sijapangwa na Young Africans, ndani ya kikosi cha wababe hao wa...
SIMBA WATUMA OFA AZAM FC
WAKIMTAKA PRINCE DUBE... Kutoka Azam FC wametoa taarifa hii Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti...
DICKSON JOB AACHWA STARS...
Fahamu kuwa kwenye Kikosi cha Taifa Stars kitachokwenda Azerbaijan kwa michezo ya FIFA Series 2024 beki wa kati wa Yanga SC Dickson Job...
SISI NI WAKUBWA TUNATAKA KUPANGWA NA YOYOTE -AHMED
Ikiwa muda mchache umesalia droo ya Robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika ipangwe Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amesema...
ROBO FAINALI CAFCL
TIMU ZA YANGA VS MAMELODI SUNDOWNS NA PIA NI SIMBA SC VS AL AHLY Kutoka jijini Cairo Misri Simba imepangwa kukutana na Al Ahly ya Misri...
PRINCE DUBE AWAAGA AZAM FC...
Straika raia wa Zimbabwe, Prince Dube ameandika barua kushukuru na kuaga viongozi, Benchi la Ufundi, wachezaji wenzake na mashabiki wa...
SIKU MBAYA KAZINI - AHMED ALLY
Kutoka kwa Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya baada ya klabu yake ya hiyo kupoteza kwa kufungwa mabao...
DUBE AFUTA PICHA ZOTE ALIZOPIGA NA JEZI YA AZAM FC PIA ATOA NA UTAMBULISHO WA KUCHEZEA AZAM.
Mchezaji Prince Dube amefuta picha zote alizopiga akiwa na jezi za Azam FC, pia ameiondoa @azamfcofficial kwenye profile yake. Hii ni...
SIMBA SC WAACHANE NA CHAMA
SIMBA SC WAACHANE NA CHAMA - WILSON ORUMA Mchambuzi wa soka Wilson Oruma amesema "Simba wakimuongezea mkataba Chama hatawasaidia kama...
SIMBA YATINGA ROBO FAINALI
SIMBA YATINGA ROBO FAINALI KLABU BINGWA AFRIKA SASA INA TIMU 2 SIMBA NA YANGA. Klabu ya Simba imetinga Robo fainali klabu Bingwa Afrika...
WALIPE KWANZA KISASI CHA MABAO 5
WALIPE KWANZA KISASI CHA MABAO 5 WALIYOFUNGWA HAPA" KOCHA JWANENG GALAXY Kocha Mkuu Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli amesema "Nawashangaa...
POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE..
POGBA AFUNGIWA MIAKA MINNE... Kiungo wa Klabu ya Juventus na timu ya Taifa ya Ufaransa Paul Pogba amepigwa marufuku kucheza soka kwa...
WAMEFUZU WATU WASHAMBA SEMBUSE SISI-
WAMEFUZU WATU WASHAMBA SEMBUSE SISI- AHMED ALLY Kutoka kwa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amesema "Jumamosi tunakwenda...
ALLY KAMWE ANAENDELEA VIZURI
ALLY KAMWE ANAENDELEA VIZURI Baadhi ya wachezaji wa Yanga SC pamoja na viongozi wao wamefika hospitali ya Aga Khan kumjulia hali meneja...
FURAHA YA USHINDI ALLY KAMWE
FURAHA YA USHINDI ALLY KAMWE AZIMIA UWANJANI AKIMBIZWA HOSP.. Taarifa zilizotufikia mezani usiku Afisa habari wa Yanga Sc Ally Kamwe...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page