top of page
Radio on air
AUSTRALIA YAIPIGA MARUFUKU PROGRAMU YA AKILI MNEMBA YA DEEPSEEK KUTOKA CHINA
Na VENANCE JOHN Australia imepiga marufuku program ya akili mnemba ya China ya DeepSeek kuwekwa kwenye vifaa vyote vya serikali kama...
TOYOTA YAONGOZA KWA KUWA KAMPUNI ILIYOUZA MAGARI MENGI ZAIDI KWA MWAKA 2024
Na VENANCE JOHN Kampuni ya Toyota Motor leo imesema mwaka jana wa 2024 iliuza magari milioni 10.8, na kubaki kuwa kampuni inayouza...
TIKTOK KUNUNULIWA NA MICROSOFT
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa kampuni ya Microsoft iko kwenye mazungumzo ya kuununua mtandao wa TikTok. ...
KOREA KUSINI YA TENGENEZA ROBOTI AMBAYO HUSAIDIA WALIOPOOZA KUTEMBEA
Na VENANCE JOHN Watafiti wa Korea Kusini wameunda roboti nyepesi inayoweza kuvaliwa ambayo inaweza kumsaidia mtu kutembea hata kama...
ITALIA YAITOZA FAINI PROGRAM YA AKILI MNEMBA (AI) YA CHATGPT KWA UKIUKAJI WA SHERIA ZA FARAGHA
Na VENACE JOHN Shirika la ulinzi wa data la Italia leo limesema kwamba limeitoza faini ya euro milioni 15 sawa na dola milioni 15.58...
UKRAINE YAZINDUA DRONE ZINAZOTUMIA YA AKILI MNEMBA ( AI) KUPAMBANA NA URUSI
Na VENANCE JOHN Ukraine imeanza kutumia mifumo kadhaa iliyoboreshwa ya akili mnemba (Artificial Intelligence; AI) mifumo...
INDONESIA YAPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA SIMU ZA IPHONE 16 PAMOJA NA APPLE WATCH 10
Indonesia imepiga marufuku uuzaji na matumizi ya simu za Apple iPhone 16 na Apple Watch 10 kutokana na Apple kushindwa kutimiza ahadi...
UNATAKA PESA? MCHONGO HUU HAPA UKIWEZA KUDUKUA MFUMO WA APPLE WATAKULIPA BILIONI 2.7
Haya sasa unataka pesa? Ni hivi Kampuni ya Apple imetoa ahadi ya kumpatia kiasi cha pesa $1 milioni sawa na Tsh Bilion 2.7 mtu yeyote...
KIFAA CHA KUPANDIKIZA KWENYE UBONGO KUTIBU TATIZO LA KUSAHAU, MBIONI KUKAMILIKA
Na Ester Madeghe, Watafiti nchini Uingereza wamepewa fursa za kufanya majaribio ya kuleta matokeo ya kutibu watu wanaougua shida ya...
UJENZI WA JENGO REFU ZAIDI DUNIANI KUENDELEA TENA BAADA YA KUSIMAMA KWA MIAKA 7
Ujenzi wa mnara wa Jeddah wenye urefu wa kilometa moja nchini Saudi Arabia, ambao utakuwa jengo refu zaidi duniani ukikamilika, umeanza...
UINGIZWAJI WA IPHONE WAPUNGUA KWA 23% ASIA, WAKATI SAMSUNG NA XIAOMI WANAKIZIDI KUKUA
Kwa mujibu wa ripoti mbalimbali za masoko duniani ikiwemo ya jarida la "Wealth", simu kutoka kwenye kampuni ya Apple yaani IPhone, kwa...
ULIWAHI KUSEMA KWAHERI SITAKUONA TENA? AKILI MNEMBA ( AKILI BANDIA / AI ) INAWEZA KUWAFUFUA WAFU!
Na VENANCE JOHN Akili Bandia au akili mnemba inazidi kuleta maajabu ambayo wengi wanaanza kutilia shaka juu usalama wa binadamu katika...
RWANDA YAZIPITA TANZANIA NA KENYA KWA UNAFUU WA HUDUMA YA INTANETI
Takwimu kutoka kampuni ya utafiti ya teknolojia ya Uingereza Cable zinaonesha kuwa wastani wa gharama ya mtandao wa Intaneti nchini...
FACEBOOK KUANZA KUWALIPA WAZALISHA MAUDHUI NCHINI TANZANIA
Na VENANCE JOHN Kampuni ya META inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram imesema Watengeneza Maudhui nchini Tanzanja wanaotumia...
"FRIEND" NI TEKNOLOJIA MPYA YA AI NI RAFIKI KWA WENYE UPWEKE MNAPIGA NAE STORI BEI NI LAKI 2
Haya sasa unaambiwa Avi Schiffmann, amekuja na majibu ya watu ambao hukumbana na upweke kwa kuja na kifaa kinachoitwa "FRIEND" kifaa...
SAMSUNG YAIWEKA WAZI RASMI PETE YAO MPYA ''GALAXY RING'' ITAKAYOUZWA KWA TSH MILIONI 1...
Na Nassor Nangi. Baada ya muda mrefu hatimaye kampuni ya Samsung yaifichua rasmi pete yake ya kwanza, Pete ya Galaxy (GALAXY RING), yenye...
KUANZA UZALISHAJI MKUBWA WA AIRPODI ZENYE KAMERA IFIKAPO 2026...
Na Nassor Nangi Kulingana na ripoti mbalimbali ikiwemo jarida maarufu mtandaoni liitwalo Wealth, kampuni ya uzalishaji wa vifaa vya...
WAZIRI NAPE AKARIBISHWA BUNGENI NA ROBOTI EUNICE..
Kutoka Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye pamoja na Viongozi wengine wakisalimiana na roboti...
JAPAN WATAMBULISHA KIFAA KIPYA CHA KINACHOTOA 6G YENYE KASI MARA 20 YA 5G....
Japan imezindua kifaa cha kwanza duniani cha 6G, ambacho hutoa kasi ya utumaji data mara 20 zaidi ya mitandao ya sasa ya 5G! Teknolojia...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page