top of page
Radio on air
SI HIVYO UMEWEZA NILIKWAMBIA TOKA GEREZANI UNENEPE BONGE ANGEKUMALIZA - BABALEVO
Msanii BabaLevo amepost picha ya aliyekuwa mume wa Shilole Bwana Rommy 3D na kuandika ujumbe huu "Si hivyo Umeweza Mzee Babaa...
ZUCHU AOMBA ASIFANANISHWE NA LADY JAY DEE "NAKOMESHA MIJADALA HII MARA MOJA"
Na Godson Mbilinyi Baada ya ukurasa mmoja mtandaoni kuibuka na kuuliza mjadala huu "Kwa nini Zuchu ni mwandishi mzuri kuliko Lady...
JOTI NA MKEWE WATIMIZA MIAKA 7 YA NDOA YAO "HATA NIKIWA SINA HELA NAKUTA UMEPIKA KUKU"
Mchekeshaji maarufu Joti ameweka wazi kutimiza miaka saba ya ndoa yake ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka ujumbe huu...
MWIGIZAJI AUNTY EZEKIEL ATIMIZA MIAKA 34
Mwigizaji wa Bongo Movie Aunty Ezekiel ameweka wazi kutimiza miaka 34 tangu Kuzaliwa kwake ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram...
ZAIYLISSA AWEKA WAZI KUWA MJAMZITO
Wakati mumewe Haji Manara akifunguka kupitia Clouds FM kuwa mkewe ZaiyLissa ana wivu sana kiasi cha kupenda kupekua pekua simu yake hii...
KUNYAMAZA NI SIFA YA KUKOMAA,SIO KILA JAMBO UNAJIBU VINGINE VIKUPITE - STEVE MENGELE
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Muigizaji Steve Mengele maarufu kama Steve Nyerere amefunguka haya "Kunyamaza ni sifa ya...
FAIDA ZA LAND ROVER FESTIVAL TUTAZIONA BAADAE - IDRIS SULTAN
Muigizaji na muongoza filamu nchini Tanzania Idris Sultan ameandika haya kwenye kurasa yake ya Mtandao wa ‘X’ zamani Twitter juu ya...
ZUCHU ATAKA WENYE MIGAHAWA WAPIGE MARUFUKU WAHUDUMU WAO KULETA USUMBUFU WAKIENDA KULA
Kutoka kwenye Insta Story ya ukurasa wa Instagram wa msanii wa Bongo Zuchu amefunguka haya "DEAR RESTAURANT OWNERS KINDLY WAFUNDISHENI...
MAREKANI YAPANGA KUITENGANISHA GOOGLE, CHROME, ANDROID NA GOOGLE PLAY, YAISHUTUMU KWA UKIRITIMBA WA MTANDAO
Na VENANCE JOHN Idara ya haki ya marekani imeitaka program ya kuvinjari katika mtandao wa intaneti ya Google kutenganishwa na...
DADA WA KAZI AINOGESHA VIDEOYA NANDY NA BILLNASS "TOTORIMI"
Mapema hii leo Nandy aliwastua mashabiki zake baada ya kupost picha ya Dada wa kazi na kuweka maneno yasemayo "Sikutegemea kama unaweza...
DUBAI NIMEENDA MARA NYINGIKULIKO MOROGORO - BILLNASS
Kutoka kwa msanii Billnass amefunguka ujumbe huu wa hamasa kwa vijana wenzake akiwa na Mama yake huko Ulaya. "Nikikumbuka niliwahi Kuwa...
MASHABIKI WAMVAA ZUCHU KISA KAANDIKA "HAPPY BIRTHDAY BEST FRIEND" KWA DIAMOND
Caption ya Zuchu kwa ajili ya kumuwish Happy birthday mpenzi wake Diamond Platnumz haijawakosha kabisa mashabiki kwani wamewaka wakitaka...
"SIJAWAHI KUPENDA HIVINIKIKUKOSA NAWEZA KUFA"WEMA SEPETU
Kutoka kwenye ukurasa wa Muigizaji Wema Sepetu amefunguka maneno haya kwa mpenzi wake Chibaba Whozu kupitia Instagram ameandika "Mine,...
RAYA THE BOSS MKE WA BARNABAATOA YA MOYONI "KAZI KUBEBAMASHABIKI KUMBEBA MKEO AAAH"
Kutoka kwa mke wa Barnaba mwanadada Raya The Boss ametoa ya Moyoni kwa mumewe juu ya kuwabeba mashabiki wa kike anapokuwa kwenye shoo...
MASTAA WAMWAGIKA KISA IDRIS KUMTAMBULISHA MPENZI WAKE
Kwa muda mrefu mwigizaji Idriss Sultan amekuwa akimficha mpenzi wake kiasi hata anapohojiwa na waandishi hukwepa kabisa mtego huo. Lakini...
NIMEAMUA KURUDI KWENYE IMANI YA DINI YANGU, KUANZIA JUMAPILI NITAKWENDA KANISANI - DIVA
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Wasafi FM @divatheebawse amefunguka haya "Going back to where I...
MAUZO YA NYIMBO ZA MSANII SEAN DIDDY COMBS (DIDDY) YAPAA KWA ASILIMIA 18.3
Na VENANCE JOHN Ikiwa kwa sasa mwanamuziki wa Marekani Sean Diddy Combs maarufu kama Diddy ambaye kwa anashikiliwa kwa tuhuma za...
MSANII LINAH ATOA YA MOYONIBAADA YA KUAMBIWA AMEZEEKA
Msanii wa Bongo Fleva Linah amefunguka haya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Nashangazwa sana na watu wanavyoshambulia wenzao kuhusu...
IDRIS ATOA ZAWADI YA GARI.
Idris Sultan amempa furaha mtanzania mwingine mmoja kwa kubadilisha maisha yake baada ya kumpatia zawadi ya gari mpya. Idris alitoa...
WAKAZI AONESHE BANK STATEMENTS NA MIMI NIONESHE ZANGU ILI TUONE NANI ANA PESA NYINGI ZAIDI- DIVA
Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Wasafi FM @divatheebawse amefunguka haya ,"Uyo Wakazi wenu aonyeshe Bank statement Yake Ya Miez hii...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page