top of page
Radio on air


ZUCHU AANDIKA HISTORIAMPYA AFRIKA MASHARIKI
Msanii wa Bongo Fleva Zuchu kutokea WCB ameandika historia mpya ya kuwa msanii wa kwanza Afrika Mashariki kufikisha watazamaji Milioni...


DADA WA KAZI KWENYE NYUMBA WANAOISHI NA NYOKA ASHANGAZA JE WEWE UNGEWEZA KUISHI HUMO?
Kuna video inatrend kwenye mitandao ya kijamii ya Mfanyakazi wa ndani kutoka Nchini Mkenya anayefanya kazi nchini Saudi Arabia kwani...


TUNDA AMCHANA WHOZU "HATA UPATE MWANAMKE WA AINA GANI HUWEZI KU MOVE ON KWANGU"
Baada ya Whozu kuwaka kuwa hampendi Tunda na kwamba amekuwa akimuongelea uongo hatimaye Tunda kaibuka na kumjibu Whozu akiandika haya...


JUX ASIKIA KILIO CHA MASHABIKI
AZIRUDISHA ENZI ZA BOB MANECK SASA KUNA NA NGOMA MPYA "BADO" Kwa kitambo kirefu mashabiki wa Juma Jux walimiss ngoma zake za utulivu...


WASAFI WAMPA POLE RAIS DKT. MWINYI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa...


JUX ASIKIA KILIO CHA MASHABIKI
AZIRUDISHA ENZI ZA BOB MANECKY SASA KUNA NA NGOMA MPYA "BADO" Kwa kitambo kirefu mashabiki wa Juma Jux walimiss ngoma zake za utulivu...


"MAZURI YANAKUJA JANGWANI" ALLY KAMWE
Kutoka kwa Meneja habari na mawasiliano Yanga SC Ally Kamwe amefunguka haya "Alhamdulillah, Kwenye upande wa Football, kwa hii misimu...


VIJANA MUAMINI KILA KITU KINAWEZEKANA CHINI YA JUA" DIAMOND PLATNUMZ
Pokea ujumbe huu kutoka kwa staa wa Bongofleva Diamond Platnumz aliouchapisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ukufikie popote pale...


MANENO YA HARMONIZE AKITIMIZA MIAKA 30 LEO...
Fahamu kuwa siku ya leo Machi 15 nyota wa Bongofleva Harmonize kutoka pale Konde Gang anatimiza umri wa miaka 30 ambapo ameutumia ukurasa...


MIMI NA SHEIKH ABDULRAZAK HATUPO TENA KWENYE NDOA" DIVA
Kutoka kwa Mtangazaji wa Wasafi FM Diva The Bawse amefunguka haya "Hi guys. Mimi na @sheikh_abdulrazak_salum Hatuko tena ktk ndoa....


DIAMOND NA HARMONIZE USO KWA USO
BAADA YA MIAKA KADHAA KUPITA Baada ya miaka kadhaa toka Staa wa Bongofleva Harmonize aondoke Lebo ya Wasafi (WCB) yake Diamond Platnumz...


RAIS WA TIMU YA KIKAPU DAR CITY
MZENJI ATUA NAIROBI APOKELEW NA MTOTO WA RAIS RUTO CHARLINE Rais wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City, Mussa Mzenji amefika Nairobi...


HARMONIZE AMPONGEZA ALIKIBA
KWA KUFUNGUA RADIO NA TV YAKE Staa wa Bongo Fleva Harmonize amempongeza mwanamuziki Alikiba kwa kutimiza miaka 20 kwenye kiwanda cha...


VICK KAMATA NA FEROOZ WALIJUA KUZITENDEA HAKI SIKU ZA WANAWAKE NA UKIMWI MTAWALIA
Na mwandishi wetu @godson2nyi Najua bado mnamalizia kiporo cha Siku ya Wanawake lakini sio mbaya japo kifupi tu tupige Soga kidogo, ujue...


MWANADADA KRYSTZYNA KUTOKA CZECH ASHINDA MISS WORLD
Kutoka India mshiriki wa mashindano makubwa ya urembo ya Miss World kutoka Jamhuri ya Czech, Krystyna Pyszkován ameshinda taji la Miss...


ALIKIBA AZINDUA REDIOYAKE MPYA CROWN FM
Ikiwa leo anasherehekea miaka 20 ya muziki wake nyota wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo...


MTUMIE BOYFRIEND WAKO HATA KALAKI KWA KUKUCHAGUA WEWE KATI YA WANAWAKE WOTE -NICOLE
Kutoka kwa muigizaji Nicole ana ujumbe huu kwa wadada "Mtumie Boyfriend wako Hata Kalaki Ka Kumshukuru Kwa Kukuchaqua Wewe Kati Ya...


DOGO ALIEAMUA KUSEPA KWAO KWENDA KUISHI KWENYE TRENI ANATUMIA MIL 22 KWA MWAKA...
Kutana na Kijana mmoja kutoka nchini Ujerumani aitwaye Lasse Stolley (17) anadaiwa kuhama kwa wazazi wake na kwenda kuishi katika treni...


UJUMBE KWAKO KIJANA TOKA KWA PROPHET KABOZYANGILI HATAKI KUKUACHA NYUMA.
Prophet Kabozyangilia, moja ya vijana wapambanaji wanaozidi kuonesha uzalendo wao kwa taifa la Tanzania, ametoa ujumbe huu mzito kwa...


HAYA SASA SAMIA QUEENS HAWA
HAPA NI NANI AMEPENDEZA ZAIDI?
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page