top of page
Radio on air
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.webp)
![LORI JAPAN LAPATIKANA KWENYE BOMBA LA MAJI TAKA WIKI CHACHE BAADA YA KUANGUKIA KWENYE SHIMO](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_0ad99bf0e0aa479ab3e4aa9d8e796c6b~mv2.webp)
LORI JAPAN LAPATIKANA KWENYE BOMBA LA MAJI TAKA WIKI CHACHE BAADA YA KUANGUKIA KWENYE SHIMO
Na VENANCE JOHN Kabati la Lori ambalo lilimezwa na shimo kubwa la kuzama (sinkhole) nchini Japan wiki mbili zilizopita limekutwa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
![SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI
Na VENANCE JOHN Pendekezo la sheria mpya ya Uingereza ya kusaidiwa kufa kwa wagonjwa mahututi itarekebishwa ili kuondoa sharti kwamba...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.webp)
![BABA AMUUA KWA RISASI BINTI YAKE KWA KUPOST VIDEO ZISIZO NA MAADILI TIKTOK](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.webp)
BABA AMUUA KWA RISASI BINTI YAKE KWA KUPOST VIDEO ZISIZO NA MAADILI TIKTOK
Na VENANCE JOHN Mwanamume mmoja ambaye hivi majuzi aliirudisha familia yake nchini Pakistan kutoka Marekani jana Jumatano amekiri...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dc1fc9112be94ea7be5cb64ad621228b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_dc1fc9112be94ea7be5cb64ad621228b~mv2.webp)
![JET LI AMKABIDHI MKEWE UTAJIRI WAKE WOTE ASEMA "AKIHITAJI KITU BASI ATAMUOMBA MKEWE"](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dc1fc9112be94ea7be5cb64ad621228b~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_dc1fc9112be94ea7be5cb64ad621228b~mv2.webp)
JET LI AMKABIDHI MKEWE UTAJIRI WAKE WOTE ASEMA "AKIHITAJI KITU BASI ATAMUOMBA MKEWE"
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_da37c7a602d74f0288aa41f28c31e7da~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_da37c7a602d74f0288aa41f28c31e7da~mv2.webp)
![MGANGA AKAMATWA NA FISI ADAI ANAMTUMIA KAMA USAFIRI WA KUPAA ANGANI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_da37c7a602d74f0288aa41f28c31e7da~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_da37c7a602d74f0288aa41f28c31e7da~mv2.webp)
MGANGA AKAMATWA NA FISI ADAI ANAMTUMIA KAMA USAFIRI WA KUPAA ANGANI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemkamata Emanuel Maduhu (31) mkazi wa Kijiji cha Kilulu, Kata ya Bunamala, Wilaya ya Bariadi ambaye ni...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_3aa6e024600e4a14b17325eb10a0dc61~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_3aa6e024600e4a14b17325eb10a0dc61~mv2.webp)
![JAMAA AOGELEA SIKU 2 MFULULIZO ILI AWEKE REKODI YA DUNIA, NA AMEWEZA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_3aa6e024600e4a14b17325eb10a0dc61~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_3aa6e024600e4a14b17325eb10a0dc61~mv2.webp)
JAMAA AOGELEA SIKU 2 MFULULIZO ILI AWEKE REKODI YA DUNIA, NA AMEWEZA
Rekodi ya kuogelea kwa muda mrefu imewekwa na Maarten van der Weijden (Uholanzi) huko Vught, North Brabant, Uholanzi, aliogelea kwa saa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2b50ae7c71a84959adc909119831827b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_2b50ae7c71a84959adc909119831827b~mv2.webp)
![AKAMATWA AKIWA NA BUIBUI 300, TANDU 110 NA MCHWA 9 VIKIWA VIMEFUNGWA KWENYE MWILI WAKE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2b50ae7c71a84959adc909119831827b~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_2b50ae7c71a84959adc909119831827b~mv2.webp)
AKAMATWA AKIWA NA BUIBUI 300, TANDU 110 NA MCHWA 9 VIKIWA VIMEFUNGWA KWENYE MWILI WAKE
Na VENANCE JOHN Polisi nchini Peru wamemkamata mwanamume ambapo amekamatwa akijaribu kuondoka nchini humo akiwa na buibui aina ya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_659555ea18c6424c87b1ffd0af33285b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_659555ea18c6424c87b1ffd0af33285b~mv2.webp)
![HIZI NDIZO BAA 50 BORA ZAIDI DUNIANI KWA 2024, AFRIKA HAINA MSHINDI KWENYE ORODHA HIYO](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_659555ea18c6424c87b1ffd0af33285b~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_659555ea18c6424c87b1ffd0af33285b~mv2.webp)
HIZI NDIZO BAA 50 BORA ZAIDI DUNIANI KWA 2024, AFRIKA HAINA MSHINDI KWENYE ORODHA HIYO
Na VENANCE JOHN Jijini Madrid mjii mkuu wa Hispania, jana usiku kulifanyika hafla ya kutambua na kutoa tuzo kwa baa 50 bora zaidi...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2d691508d4f142baba43e89a4744e874~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_2d691508d4f142baba43e89a4744e874~mv2.webp)
![MJUKUU AIBA HATI AUZA NYUMBA MILIONI 5, AMWACHA MJANE KWENYE MAJONZI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2d691508d4f142baba43e89a4744e874~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_2d691508d4f142baba43e89a4744e874~mv2.webp)
MJUKUU AIBA HATI AUZA NYUMBA MILIONI 5, AMWACHA MJANE KWENYE MAJONZI
Ripoti kutoka Mtaa wa Sulungai Kata ya Ipagala, jijini Dodoma, Elizabeth Sudai (80) ameiomba serikali kumsaidia kupata nyumba yake ambayo...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_218c0a90fd454267b2e1388387ddd716~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_218c0a90fd454267b2e1388387ddd716~mv2.webp)
![NYANGUMI ANAYEDHANIWA KUIFANYIA UPELELEZI URUSI AFARIKI DUNIA NCHINI NORWAY](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_218c0a90fd454267b2e1388387ddd716~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_218c0a90fd454267b2e1388387ddd716~mv2.webp)
NYANGUMI ANAYEDHANIWA KUIFANYIA UPELELEZI URUSI AFARIKI DUNIA NCHINI NORWAY
NA VENANCE JOHN Nyangumi ambaye ni jamii ya beluga aliyekuwa anadhaniwa kutumiwa na Urusi kwa shughuli za ujasusi (upelelezi)...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_bf67cb8d1a9e438b8d86c892a539c5f9~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_bf67cb8d1a9e438b8d86c892a539c5f9~mv2.webp)
![ALIYEPANGA NJAMA YA KUMFUNGA JELA EX WAKE AJIINGIZA MKENGE NA KUFUNGWA MWENYEWE KISA BANGI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_bf67cb8d1a9e438b8d86c892a539c5f9~mv2.jpg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_bf67cb8d1a9e438b8d86c892a539c5f9~mv2.webp)
ALIYEPANGA NJAMA YA KUMFUNGA JELA EX WAKE AJIINGIZA MKENGE NA KUFUNGWA MWENYEWE KISA BANGI
Na VENANCE JOHN Mwanamume mmoja nchini Singapore amejikuta matatani baada ya kujaribu kupanga njama dhidi ya aliekua mke wake ambaye...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_9b0e2998106c4bbc9692c43e7d217482~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_9b0e2998106c4bbc9692c43e7d217482~mv2.webp)
![SEABRIGHT KUKU ANAYEUZWA LAKI TANO (500,000)](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_9b0e2998106c4bbc9692c43e7d217482~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_9b0e2998106c4bbc9692c43e7d217482~mv2.webp)
SEABRIGHT KUKU ANAYEUZWA LAKI TANO (500,000)
Na VENANCE JOHN ‘Seabright’ ndiyo jina walilopewa kuku hawa wenye asili ya Uturuki. Kuku hawa wanatumika zaidi kwa ajili ya urembo na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b13e81de57c841aa93033cd9a7ad5877~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_b13e81de57c841aa93033cd9a7ad5877~mv2.webp)
![JELA MIAKA 10 KWA KUWANYANYASA MBWA KIJINSIA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b13e81de57c841aa93033cd9a7ad5877~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_b13e81de57c841aa93033cd9a7ad5877~mv2.webp)
JELA MIAKA 10 KWA KUWANYANYASA MBWA KIJINSIA
Na VENANCE JOHN Adam Britton ambaye ni mtaalam wa mamba nchini Uingereza amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela nchini Australia, baada...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2f29bd44843d442da7f675f5e9301852~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_2f29bd44843d442da7f675f5e9301852~mv2.webp)
![WAZIRI MKUU WA SOMALIA KUTUMIA MSHAHARA WAKE WOTE WA MWEZI JULAI KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MLIPUKO](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_2f29bd44843d442da7f675f5e9301852~mv2.jpg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_2f29bd44843d442da7f675f5e9301852~mv2.webp)
WAZIRI MKUU WA SOMALIA KUTUMIA MSHAHARA WAKE WOTE WA MWEZI JULAI KUWASAIDIA WAATHIRIWA WA MLIPUKO
Waziri Mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre ametangaza kuwa mshahara wake wote wa mwezi Julai atautoa kuwasaidia watu walioathiriwa na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_52a0f9ccca5f4dbda98b64108c97482f~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_52a0f9ccca5f4dbda98b64108c97482f~mv2.webp)
![ENOCK AKAMATWA NA WALINZI WAKANISA AKITOROKA NA SAKRAMENTI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_52a0f9ccca5f4dbda98b64108c97482f~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_52a0f9ccca5f4dbda98b64108c97482f~mv2.webp)
ENOCK AKAMATWA NA WALINZI WAKANISA AKITOROKA NA SAKRAMENTI
Kutoka Ifakara mkoani Morogoro Kijana Enock George Masala (19) amekamatwa akitoroka na Sakramenti takatifu baada ya kukomunika katika...
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_59e689de94da40c0b3caee0f1d915198~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/146e6d_59e689de94da40c0b3caee0f1d915198~mv2.webp)
![ANGALAU MBWA MILIONI 5 NA PAKA MILIONI 1 HUCHINJWA KILA MWAKA HUKO VIETNAM](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_59e689de94da40c0b3caee0f1d915198~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/146e6d_59e689de94da40c0b3caee0f1d915198~mv2.webp)
ANGALAU MBWA MILIONI 5 NA PAKA MILIONI 1 HUCHINJWA KILA MWAKA HUKO VIETNAM
Haya sasa fahamu kuwa angalau mbwa milioni 5 na paka milioni 1 huchinjwa kwa ajili ya matumizi ya kula binadamu huko nchini Vietnam kila...
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_ed00d95998aa48d1984997aa5a91f721~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/ca9c0e_ed00d95998aa48d1984997aa5a91f721~mv2.webp)
![AINGIZA MAITI YA MJOMBA WAKE BENKI ILI ACHUKUE MKOPO KWA JINA LAKE KIASI CHA TSH MILIONI 8.......](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_ed00d95998aa48d1984997aa5a91f721~mv2.jpg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/ca9c0e_ed00d95998aa48d1984997aa5a91f721~mv2.webp)
AINGIZA MAITI YA MJOMBA WAKE BENKI ILI ACHUKUE MKOPO KWA JINA LAKE KIASI CHA TSH MILIONI 8.......
Polisi nchini Brazil wanamshikilia Érika de Souza Vieira kwa tuhuma za kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki, ili...
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_273c196c38e5405d9efe48b7258d87fa~mv2.jpg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/ca9c0e_273c196c38e5405d9efe48b7258d87fa~mv2.webp)
![SAMAKI WENGINE WAINGIA MTONI LORI LIKIPATA AJALI](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_273c196c38e5405d9efe48b7258d87fa~mv2.jpg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/ca9c0e_273c196c38e5405d9efe48b7258d87fa~mv2.webp)
SAMAKI WENGINE WAINGIA MTONI LORI LIKIPATA AJALI
Lori lililokuwa limebeba samaki walio hai wapatao 102,000 nchini Marekani, limepata ajali kwenye korongo moja na kusababisha idadi kubwa...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page