top of page
Radio on air


WANAWAKE TUSAIDIENI KUTULEA - MHE. PINDA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb.) amewataka wanawake wote nchini kushikama katika...


DKT. KAZUNGU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME DAR ES SALAAM
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ametembelea miradi mbalimbali ya uzalishaji na usafirishaji umeme...


WATANZANIA TUMUUNGE MKONO RAIS SAMIA KATIKA MAENDELEO
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi mhe. Geophrey Mizengo Pinda amewataka watanzania kote nchini kuunga jitihada za...


MHANDISI BWIRE AWAPONGEZA WALIOPANDISHA BENDERA MLIMA KILIMANJARO
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) Mhandisi Mkama Bwire, amekutana na...


TANZANIA, SAUDI ARABIA KUIMARISHA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika kuimarisha Sekta ya Nishati...


SERIKALI YAKABIDHI NYUMBA 109 KWA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo (Ijumaa, Desemba 20, 2024) amekabidhi nyumba 109 kwa waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope...


TUMEKABIDHI NYUMBA 109 KWA WENZETU WALIOATHIRIWA NA MAPOROMOKO YA HANANG
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan amechapisha taarifa isemayo ...


URUSI YAMKAMATA MSHUKIWA WA MAUAJI YA JENERALI MKUU KITENGO CHA SILAHA ZA NYUKLIA NA KEMIKALI
Na VENANCE JOHN Urusi leo imesema kuwa inamshikilia raia wa Uzbekistan ambaye amekiri kutega na kulipua bomu lililomuua Luteni...


ASKOFU MKUU WA ZAMANI WA ANGLIKANA AJIUZULU KWA KUMRUDISHA KAZINI KASISI ALIYEWANYANYASA WATOTO
Na VENANCE JOHN Aliyekuwa Askofu Mkuu wa Canterbury Bw. George Carey ameacha utumishi wake kama kasisi wa Kanisa la Uingereza...


AFUNGWA MAISHA JELA KWA KULAWITI MTOTO WA MIAKA MINNE
Mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Mashauri Ng'oga Shauri (20) amehukumiwa kifungo...


MAHAKAMA UGANDA YAIAMURU SERIKALI KUWALIPA FIDIA WAATHIRIWA BAADA YA ALIYEHUKUMIWA KUWA MASIKINI SANA
Na VENANCE JOHN Mahakama ya Uganda imeiamuru serikali nchini humo kulipa hadi shilingi milioni 10 za Uganda (dola 2,740) kwa kila...


DKT KIJAJI AIAGIZA NARCO KUZALISHA MBEGU ZA MIFUGO, MALISHO KWA WINGI
◼️Ataka visima 6 vya maji NARCO Kukamilishwa Kabla ya January 5, 2025. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji...


KAMANDA MKUU WA SILAHA ZA KIBAIOLOJIA NA KEMIKALI WA URUSI AULIWA NA UKRAINE MJINI MOSCOW
Na VENANCE JOHN Jenerali mkuu wa Urusi anayetuhumiwa na Ukraine kwa kuhusika na matumizi ya silaha za kemikali dhidi ya wanajeshi wa...


PUTIN: VIONGOZI WA MAGHARIBI WANADHANI WAO WANATEULIWA NA MUNGU, JAPOKUWA HAWAMUAMINI MUNGU
Na VENANCE JOHN Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema, nchi za Magharibi zinaendelea kufanya mambo kana kwamba ni wawakilishi wa...


UGONJWA WA AJABU WA KUCHEZA DENSI UNAOWASUMBUA MAMIA NCHINI UGANDA, NI WANAWAKE NA WASICHANA TU
Na VENANCE JOHN Takriban watu 300 wanasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu wa kucheza ngoma baada ya kuambukizwa ugonjwa huo, nchini Uganda. ...


ZIARA YA SEKTA YA MAJI KOREA KUSINI YAFANIKISHA MRADI WA MAJITAKA DAR ES SALAAM
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema ziara iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Korea Kusini imetengeneza mahusiano...


RAIS WA KOREA KUSINI KUHOJIWA BAADA YA KUSIMAMISHWA URAIS, WAENDESHA MASHTAKA WASEMA AKIKATAA ATAKAMATWA
Na VENANCE JOHN Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wamemtaka rais aliyeondolewa madarakani kwa muda na bunge la nchi hiyo Yoon...


MWILI WA DAISLE ULOMI WAPATIKANA, KABLA YA KIFO CHAKE ALIPATA AJALI YA PIKIPIKI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi kupitia Kamanda Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Muliro & Muliro inaeleza...


PUTIN AZISHUTUMU NCHI ZA MAGHARIBI, ASEMA URUSI INAJIANDAA KUANZA KUTUMIA SILAHA ZA NYUKLIA
Na VENANCE JOHN Rais wa Urusi Vladimir Putin leo amezishutumu nchi za Magharibi kwa kuisukuma Urusi kwenye kile alichokiita mistari...


GRÍMSEY: KISIWA CHA CHENYE WATU 20 PEKEE NA NDEGE MILIONI 1, HAKUNA DAKTARI WALA POLISI
Na VENANCE JOHN Ni kisiwa chenye ndege wengi, na wanyama kama punda, farasi na wengineo wengi kuliko idadi wa binadamu wanaoishi humo...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page