top of page
Radio on air
TUMEKUWA NA MAZUNGUMZO MAZURI NA MBOSSO TAARIFA ZOZOTE ZIPUUZWE - DIAMOND
Staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amefunguka haya juu taarifa zinaendelea kusambaa mitandaoni ya kwamba msanii anayemsimamia kwenye...
RAHA HIZI MASHABIKI WA YANGA WACHOKA KUSAFIRI ARDHINI NA MAJINI WAHAMIA ANGANI
Mashabiki wa Yanga ama kwa hakika huu ni mwaka wao kila siku wanakuja na jambo jipya na sasa tawi Yanga On Fire wamekwea pipa kwenda...
MSASA MEDIA KWENYE TOP 10 MEDIA ZILIZOTAZAMWA ZAIDI YOUTUBE IKIWA NI MWEZI WA 3 MFULULIZO...
Media yako pendwa ya Msasa Media imeendelea kufanya vyema kwenye Chati ya Media zinazofanya vizuri kwa kila mwezi kwa kupata watazamaji...
MBAPPE HUYO REAL MADRID KILA KITU KIMEKAMLIKA....
Kylian Mbappé, anakaribia kujiunga na Real Madrid baada ya mkataba huo kusainiwa Real Madrid sasa wanatarajiwa kumtangaza Mbappé kama...
MNAOMFAHAMU ASKARI HUYU MWAMBIENI NINA ZAWADI YAKE - ALLY HAPI
Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Katibu Mkuu Jumuiya Wazazi CCM taifa (MNEC) Ally Hapi amechapisha picha hii ya Askari akifunga...
DUA ZOTE ZIMEKATAA SASA AZAM FC KLABU BINGWA SIMBA SC SHIRIKISHO KULE KWA MTANI AZIZ KI TOP SCORER....
Hatimaye Ligi Kuu ya NBC imetamatika hii leo katika michezo 8 iliyopigwa kutoka kwenye viwanja tofauti tofauti hivyo kwa msimamo uliopo...
HATIMAYE LIGI KUU YA NBC 23/24 IMETAMATIKA NA MSIMAMO HUU TUKUTANE MSIMU UJAO 2024/25
Hatimaye Ligi Kuu ya NBC imetamatika hii leo katika michezo 8 iliyopigwa kutoka kwenye viwanja tofauti tofauti hivyo kwa msimamo uliopo...
TUTAWAONESHA MKAJIFUNZE KUWA WASANII WA NCHI HII SIO WA KUCHEZEA CHEZEA - DIAMOND
Kutoka kwa Diamond Platnumz ana dukuduku hili ameliandikia kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story.. "NI MASIKITIKO KUONA...
AFRIKA KUSINI YAONGOZA NCHI ZENYE MABILIONEA WENGI AFRIKA KENYA YA NNE TANZANIA NAMBA 10..
Fahamu nchi ya Afrika Kusini inaongoza Afrika kwa kuwa na mabilionea 37,400, ikifuatiwa na Misri yenye 15,600, huku Nigeria ikishika...
MIKOPO INAUA URAFIKI WA WATU WENGI - MWASITI
Nianze na swali je umeshawahi kupoteza rafiki kwa sababu ulimkopesha? Au Ulikopeshwa ukashindwa kurejesha urafiki ukafa? Kutoka kwa...
UKWELI KUHUSU SAKATA LA CLEMENT MZIZE - JEMEDARI SAID
Kutoka kwa Mchambuzi wa michezo Jemedari Said amefunguka haya juu ya sakata la Mchezaji wa Yanga SC Clement Mzize kuhusishwa na Azam FC...
HAPATOSHI DERBY YA KARIAKOO HAPA BARAKA MPENJA KULE GHARIB MZINGA KWENYE KIPAZA...
Ikiwa zimesalia siku mbili tu #DerbyYaKariakoo iweze kuwaka moto mambo yanazidi kutaradadi kwa kwenye kipaza cha Azam TV watakaounguruma...
HEBU KUWA MKWELI WEWE NI NAMBA NGAPI?
Hebu tuambie ukweli linapokuja suala la kusosomala Kuku tena Kipaja ulaji wako huwa namba ngapi hapo #MsasaKisasaZaidi
PAULA NA MARIOO WATARAJIA KUPATA MTOTO WA KIKE
Leo imefanyika Baby Shower ya Paula ambapo rasmi imewekwa wazi kuwa yeye na mpenzi wake Marioo wanatarajia kupata mtoto wa kike. Kwenye...
WAHAMIAJI HARAMU 16 WAKAMATWA WAKIWA WAMETELEKEZWA KWENYE SHAMBA LA MAHINDI MAFINGA.
.Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na jeshi la uhamiaji limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 16 raia wa Ethiopia kwa kosa la...
SIMBA SC APIGWA MATEKE MAWILI KWA MPIGO, AL AHLY KAMTOA CAF MASHUJAA KAMTOA SHIRIKISHO
Klabu ya Simba imeondoshwa kwenye michuano ya Kombe la CRDB BANK FEDERATION CUP baada ya kutoa Sare ya 1- 1 na baadae kutolewa kwenye...
YANGA SC WAMEPOST PICHA HII NA WANASEMA"HABARI ZA JIONI WANANCHI?
"Kutoka kwenye ukurasa wa Yanga SC wamepost picha hii na kuandika ujumbe huu "Habari za jioni wananchi?" Unadhani wana maana gani?...
MSASA MEDIA USO KWA USO NA TOM ABONGILE PIRATO WA SIMBA SC VS AL AHLY CAFCL
Kutoka Dar es Salaam ni Mwandishi wetu wa Msasa Media Godson Mbilinyi akiwa na mwamuzi wa kati Tom Abongile kutoka Afrika Kusini ambaye...
WATU 12 WAKAMATWA KWA KULA HADHARANI MCHANA ZANZIBAR...
Kutoka Zanzibar Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu 12 kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani...
UINGEREZA KUDHIBITI WAFANYAKAZI
WANAOTOA HUDUMA KWA WAZEE KULETA FAMILIA ZAO NCHINI HUMO Fahamu kuwa Serikali ya Uingereza imetangaza sheria mpya zinazodhibiti...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page