top of page
Radio on air
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.webp)
![TRUMP ATIA SAINI AGIZO LA UTENDAJI KURUHUSU MIRIJA YA PLASTIKI KUANZA KUTUMIKA TENA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_5e1ab56baa4a45febdebdc01ab0dadf0~mv2.webp)
TRUMP ATIA SAINI AGIZO LA UTENDAJI KURUHUSU MIRIJA YA PLASTIKI KUANZA KUTUMIKA TENA
Na VENANCE JOHN Rais Donald Trump ametia saini agizo kuu linalolenga kuhimiza serikali ya Marekani na watumiaji mirija ya plastiki,...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.webp)
![TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_97db391470de46f4b2fb30161c4b5137~mv2.webp)
TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
![SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_806c4074755745a78094b862b583486d~mv2.webp)
SHERIA YA ILIYOPENDEKEZWA YA KUSAIDIWA KUFA UINGEREZA KUBADILISHWA ILI KUONDOA UTIAJI SAINI WA MAJAJI
Na VENANCE JOHN Pendekezo la sheria mpya ya Uingereza ya kusaidiwa kufa kwa wagonjwa mahututi itarekebishwa ili kuondoa sharti kwamba...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.webp)
![VISA VYA EBOLA VILIVYOTHIBITISHWA NCHINI UGANDA VYAONGEZEKA MPAKA TISA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_667bfcfb45a44e0a938b101d67113eba~mv2.webp)
VISA VYA EBOLA VILIVYOTHIBITISHWA NCHINI UGANDA VYAONGEZEKA MPAKA TISA
Na VENANCE JOHN Wizara ya afya ya nchini Uganda imesema, idadi ya kesi zilizothibitishwa za mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.webp)
![TRUMP ASEMA HAMAS INAPASWA KUWAACHILIA MATEKA WOTE IFIKAPO JUMAMOSI MCHANA AU KIAMA KIZUKE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_4384554a655149e1aa3720ea569ae243~mv2.webp)
TRUMP ASEMA HAMAS INAPASWA KUWAACHILIA MATEKA WOTE IFIKAPO JUMAMOSI MCHANA AU KIAMA KIZUKE
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba Hamas inapaswa kuwaachilia mateka wote wanaoshikiliwa na kundi hilo...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.webp)
![KOREA KASKAZINI YAONYA KULIPIZA KISASI BAADA YA MELI yA NYUKLIA YA MAREKANI KUINGIA KOREA KUSINI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_21ccf13e876a42eda6f7540b1e999f90~mv2.webp)
KOREA KASKAZINI YAONYA KULIPIZA KISASI BAADA YA MELI yA NYUKLIA YA MAREKANI KUINGIA KOREA KUSINI
Na VENANCE JOHN Korea Kaskazini imesema vikosi vyake vya kijeshi viko tayari kuchukua hatua zozote zinazohitajika baada ya manowari ya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.webp)
![URUSI YAJIBU VITISHO VYA TRUMP DHIDI YA NCHI ZA BRICS KUWEKEWA USHURU WA 100%](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_072c5e2a155f45ad8cd66c32fa902852~mv2.webp)
URUSI YAJIBU VITISHO VYA TRUMP DHIDI YA NCHI ZA BRICS KUWEKEWA USHURU WA 100%
Na VENANCE JOHN Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imetoa taarifa kuhusiana na tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kutoza ushuru...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.webp)
![KANSELA WA UJERUMANI OLAF SCHOLZ ASEMA UMOJA WA ULAYA UTAJIBU MAPIGO YA TRUMP YA USHURU](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_dabb3db071da49d088f644b59b2841b8~mv2.webp)
KANSELA WA UJERUMANI OLAF SCHOLZ ASEMA UMOJA WA ULAYA UTAJIBU MAPIGO YA TRUMP YA USHURU
Na VENANCE JOHN Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz ameonya kwamba iwapo Marekani itaweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za Umoja wa Ulaya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.webp)
![WANAJESHI 84 WA JESHI LA CONGO DR KUSHTAKIWA KWA TUHUMIWA ZA MAUAJI YA RAIA NA KUPORA MALI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_857f444040d1487184edb7d75b725f87~mv2.webp)
WANAJESHI 84 WA JESHI LA CONGO DR KUSHTAKIWA KWA TUHUMIWA ZA MAUAJI YA RAIA NA KUPORA MALI
Na VENANCE JOHN Mahakama yakijeshi Nchini Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC imefunguwa kesi mjini Bukavu dhidi ya askari 84 wa jeshi...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.webp)
![TAMASHA LA ED SHEERAN LAKATIZWA NA POLISI INDIA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_15cc08d15e3a4c5c9d84dbf9cfd06a12~mv2.webp)
TAMASHA LA ED SHEERAN LAKATIZWA NA POLISI INDIA
Na VENANCE JOHN Mwimbaji na mtumbuizaji maarurufu kutoka nchini Uingereza, Ed Sheeran amejikuta akifadhaika baada ya tamasha lake...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.webp)
![ATAFUTWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MZAZI MWENZAKE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_beb445b1794a4cd49b49b347e5481375~mv2.webp)
ATAFUTWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MZAZI MWENZAKE
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani inaeleza kuwa . "Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Iinamtafuta Abdallah Mohammed miaka...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.webp)
![MCHUNGAJI MALISA AFUKUZWA CCM KISA ALIPINGA RAIS SAMIA KUPITISHWA KUWA MGOMBEA PEKEE URAIS 2025](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_cbe340b42fb94f2ca9ce0f330feb02f0~mv2.webp)
MCHUNGAJI MALISA AFUKUZWA CCM KISA ALIPINGA RAIS SAMIA KUPITISHWA KUWA MGOMBEA PEKEE URAIS 2025
Na VENANCE JOHN Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.webp)
![BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE KISA UKATA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_ea741e4f5e1041ca945fac6b36093a47~mv2.webp)
BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LASIMAMISHA SHUGHULI ZAKE KISA UKATA
Na VENANCE JOHN Bunge la nchi za Afrika Mashariki, EALA limetangaza kuwa limesimamisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5657cd4babb7421a9eea817e1ee4739d~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_5657cd4babb7421a9eea817e1ee4739d~mv2.webp)
![JUHUDI ZA CHINA KUTAKA VIJANA KUOANA NA KUZAA ZAKWAMA, YALIA KWA UKOSEFU WA NGUVU KAZI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5657cd4babb7421a9eea817e1ee4739d~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_5657cd4babb7421a9eea817e1ee4739d~mv2.webp)
JUHUDI ZA CHINA KUTAKA VIJANA KUOANA NA KUZAA ZAKWAMA, YALIA KWA UKOSEFU WA NGUVU KAZI
Na VENANCE JOHN Licha ya juhudi nyingi za serikali ya China kuhimiza vijana kuoana na kupata watoto ili kuongeza idadi ya watu nchini...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f594bca5d0334d3585eee9174ffc6df8~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_f594bca5d0334d3585eee9174ffc6df8~mv2.webp)
![TRUMP AMWAGIZA MUSK KUFICHUA MABILIONI YA ULAGHAI NA MATUMIZI MABAYA YA WIZARA YA ULINZI PENTAGON](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f594bca5d0334d3585eee9174ffc6df8~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_f594bca5d0334d3585eee9174ffc6df8~mv2.webp)
TRUMP AMWAGIZA MUSK KUFICHUA MABILIONI YA ULAGHAI NA MATUMIZI MABAYA YA WIZARA YA ULINZI PENTAGON
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amesema anatarajia mshirika wake Elon Musk kupata mabilioni ya dola za udanganyifu na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_eb00500e6a9445e4a3d62482e9d1afc1~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_eb00500e6a9445e4a3d62482e9d1afc1~mv2.webp)
![SERIKALI INATOA KIPAUMBELE KUFIKISHA UMEME TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA KWA JAMII - KAPINGA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_eb00500e6a9445e4a3d62482e9d1afc1~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_eb00500e6a9445e4a3d62482e9d1afc1~mv2.webp)
SERIKALI INATOA KIPAUMBELE KUFIKISHA UMEME TAASISI ZINAZOTOA HUDUMA KWA JAMII - KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatoa kipaumbele katika kufikisha...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_682f6d24fc324eda8f42673e68a3398b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_682f6d24fc324eda8f42673e68a3398b~mv2.webp)
![MKOA WA PUNJAB WA PAKISTAN WAPIGA MARUFUKU KABISA URUSHAJI WA TIARA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_682f6d24fc324eda8f42673e68a3398b~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_682f6d24fc324eda8f42673e68a3398b~mv2.webp)
MKOA WA PUNJAB WA PAKISTAN WAPIGA MARUFUKU KABISA URUSHAJI WA TIARA
Na VENANCE JOHN Mkoa wenye watu wengi zaidi wa Punjab nchini Pakistan umeweka marufuku kamili ya kurusha tiara kabla ya tamasha la...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a771b6dc361546b7857f1a43772b5c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_a771b6dc361546b7857f1a43772b5c6b~mv2.webp)
![TRUMP ASEMA KUNA MATUMAINI YA KUMALIZA VITA UKRAINE](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a771b6dc361546b7857f1a43772b5c6b~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_a771b6dc361546b7857f1a43772b5c6b~mv2.webp)
TRUMP ASEMA KUNA MATUMAINI YA KUMALIZA VITA UKRAINE
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kwamba Marekani, inapiga hatua katika mazungumzo yake ya kumaliza vita...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5b0875f213704899ba2bd982bcddd5dc~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_5b0875f213704899ba2bd982bcddd5dc~mv2.webp)
![NDEGE YA KIJESHI ZIMBABWE YAPATA AJALI, RUBANI AFARIKI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_5b0875f213704899ba2bd982bcddd5dc~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_5b0875f213704899ba2bd982bcddd5dc~mv2.webp)
NDEGE YA KIJESHI ZIMBABWE YAPATA AJALI, RUBANI AFARIKI
Na VENANCE JOHN Jeshi la Zimbabwe (ZDF) limetangaza kuwa rubani kijana mwanafunzi kutoka Kambi ya Jeshi la Wanahewa la Josiah...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_6d4f9f641a9d4280be4763b7a9c91f30~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_6d4f9f641a9d4280be4763b7a9c91f30~mv2.webp)
![TRUMP AIWEKEA VIKWAZO MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU WA KIVITA ICC](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_6d4f9f641a9d4280be4763b7a9c91f30~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_6d4f9f641a9d4280be4763b7a9c91f30~mv2.webp)
TRUMP AIWEKEA VIKWAZO MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU WA KIVITA ICC
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani, Donald Trump ametia saini amri ya utendaji ya kuiwekea vikwazo Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC)...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page