top of page
Radio on air
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b0b7999a0e144c4f8d82db70efb0261c~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_b0b7999a0e144c4f8d82db70efb0261c~mv2.webp)
![AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE - MHE. KAPINGA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b0b7999a0e144c4f8d82db70efb0261c~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_b0b7999a0e144c4f8d82db70efb0261c~mv2.webp)
AZMA YA SERIKALI NI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA UMEME WA UHAKIKA WAKATI WOTE - MHE. KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ni azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata umeme wa uhakika na unaotabirika...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_84eba890690a4745a7631dff8dfa3d89~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_84eba890690a4745a7631dff8dfa3d89~mv2.webp)
![TRUMP AAMURU TAARIFA ZA VVU, WALIOBADILI JINSI KUONDOLEWA KWENYE TOVUTI YA KITUO CHA KUZUIA MAGONJWA CDC](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_84eba890690a4745a7631dff8dfa3d89~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_84eba890690a4745a7631dff8dfa3d89~mv2.webp)
TRUMP AAMURU TAARIFA ZA VVU, WALIOBADILI JINSI KUONDOLEWA KWENYE TOVUTI YA KITUO CHA KUZUIA MAGONJWA CDC
Na VENANCE JOHN Tovuti ya vituo kadhaa vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) nchini Marekani imeondoa seti za data (dataset)...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_de7e63d985044a0586ac15c6b6df0175~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_de7e63d985044a0586ac15c6b6df0175~mv2.webp)
![RAIS TRUMP KUKATA MISAADA YOTE KWA AFRIKA KUSINI BAADA YA SHERIA YA KUNYANG’ANYA WAZUNGU ARDHI KUSAINIWA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_de7e63d985044a0586ac15c6b6df0175~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_de7e63d985044a0586ac15c6b6df0175~mv2.webp)
RAIS TRUMP KUKATA MISAADA YOTE KWA AFRIKA KUSINI BAADA YA SHERIA YA KUNYANG’ANYA WAZUNGU ARDHI KUSAINIWA
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump, amesema atasitisha misaada yote ya kifedha kwa nchi ya Afrika Kusini, kwa kile ambacho...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b715babab1174d2b9fb7e9dbeeccf280~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_b715babab1174d2b9fb7e9dbeeccf280~mv2.webp)
![HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b715babab1174d2b9fb7e9dbeeccf280~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_b715babab1174d2b9fb7e9dbeeccf280~mv2.webp)
HALMASHAURI YA WILAYA YA NAMTUMBO YAVUKA LENGO UKUSANYAJI WA MAPATO
Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma imevuka lengo la ukusanyaji mapato,baada ya kufanikiwa kukusanya mapato ya zaidi ya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_d7f18c028d224e69b90794ff4ab5b830~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_d7f18c028d224e69b90794ff4ab5b830~mv2.webp)
![DEREVA ALIYESAMBAZA SAUTI KWENYE MITANDAO KUWA AMEJERUHIWA ENEO LA CHALINZE AKAMATWA, YABAINIKA YEYE NDIO MTUHUMIWA WA KUJERUHI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_d7f18c028d224e69b90794ff4ab5b830~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_d7f18c028d224e69b90794ff4ab5b830~mv2.webp)
DEREVA ALIYESAMBAZA SAUTI KWENYE MITANDAO KUWA AMEJERUHIWA ENEO LA CHALINZE AKAMATWA, YABAINIKA YEYE NDIO MTUHUMIWA WA KUJERUHI
Taarifa kutoka jeshi la Polisi inaeleza kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linapenda kutoa ufafanuzi kuhusu sauti inayo sambaa kwenye...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ca0a8bfcc144e7db0f1ee872ed5f0a5~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_0ca0a8bfcc144e7db0f1ee872ed5f0a5~mv2.webp)
![ELON MUSK ASEMA NI WAKATI WA SHIIRIKA LA MISAADA LA MAREAKANI (USAID) KUFA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0ca0a8bfcc144e7db0f1ee872ed5f0a5~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_0ca0a8bfcc144e7db0f1ee872ed5f0a5~mv2.webp)
ELON MUSK ASEMA NI WAKATI WA SHIIRIKA LA MISAADA LA MAREAKANI (USAID) KUFA
Na VENANCE JOHN Mfanyabiashara Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) linafaa kufa huku kukiwa na ripoti...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_536371cb09ba44c5a966b440366c0d99~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_536371cb09ba44c5a966b440366c0d99~mv2.webp)
![SADC KUKUTANA LEO KUJADILI HALI YA MASHARIKI MWA KONGO DRC](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_536371cb09ba44c5a966b440366c0d99~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_536371cb09ba44c5a966b440366c0d99~mv2.webp)
SADC KUKUTANA LEO KUJADILI HALI YA MASHARIKI MWA KONGO DRC
Na VENANCE JOHN Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) inatarajia kukutana leo katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, kwa mkutano...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_707e56c1a9dc4dca8f253687f646e1e0~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_707e56c1a9dc4dca8f253687f646e1e0~mv2.webp)
![TRUMP ASEMA KUANZIA KESHO CANADA NA MEXICO ZITAANZA KUTOZWA USHURU WA 25%](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_707e56c1a9dc4dca8f253687f646e1e0~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_707e56c1a9dc4dca8f253687f646e1e0~mv2.webp)
TRUMP ASEMA KUANZIA KESHO CANADA NA MEXICO ZITAANZA KUTOZWA USHURU WA 25%
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump amerudia ahadi yake ya kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa bidhaa za Canada na Mexico...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_62372ac8280a4441a7f8c40ff9493e8a~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_62372ac8280a4441a7f8c40ff9493e8a~mv2.webp)
![KISANDUKU CHA KUHIFADHI DATA CHA NDEGE ILIYOGONGANA NA HELIKOPTA CHAPATIKANA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_62372ac8280a4441a7f8c40ff9493e8a~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_62372ac8280a4441a7f8c40ff9493e8a~mv2.webp)
KISANDUKU CHA KUHIFADHI DATA CHA NDEGE ILIYOGONGANA NA HELIKOPTA CHAPATIKANA
Na VENANCE JOHN Maafisa nchini Marekani wamesema wamepata kifaa cha kurekodi taarifa (data) na kinasa sauti cha ndege,...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_14203971e32741e6adf195f593f411ee~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_14203971e32741e6adf195f593f411ee~mv2.webp)
![WAASI WA M23 WASEMA LENGO NI KUMPINDUA RAIS TSHISEKEDI, SASA KUSONGA MBELE KUISAKA KINSHASA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_14203971e32741e6adf195f593f411ee~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_14203971e32741e6adf195f593f411ee~mv2.webp)
WAASI WA M23 WASEMA LENGO NI KUMPINDUA RAIS TSHISEKEDI, SASA KUSONGA MBELE KUISAKA KINSHASA
Na VENANCE JOHN Kiongozi wa waasi wa M23, Corneille Nangaa ambaye wapiganaji wake wameuteka mji wa Goma, mji mkubwa zaidi mashariki...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_825dcb07196f45918e4dcf979c7587a7~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_825dcb07196f45918e4dcf979c7587a7~mv2.webp)
![BENKI ZA URUSI ZAVUNA FAIDA 2024 LICHA YA KUWA KWENYE VITA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_825dcb07196f45918e4dcf979c7587a7~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_825dcb07196f45918e4dcf979c7587a7~mv2.webp)
BENKI ZA URUSI ZAVUNA FAIDA 2024 LICHA YA KUWA KWENYE VITA
Na VENANCE JOHN Benki za Urusi zilivunja rekodi ya faida ya kila mwaka kwa kupata rubles trilioni 4 sawa na dola bilioni 40.7 mwaka...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_e10ccce287d046eea9e479e34d677955~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_e10ccce287d046eea9e479e34d677955~mv2.webp)
![MWANAHARAKATI SWEDEN ANAYEPINGA UISLAMU AULIWA KWA KUPIGWA RISASI, WATANO WAKAMATWA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_e10ccce287d046eea9e479e34d677955~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_e10ccce287d046eea9e479e34d677955~mv2.webp)
MWANAHARAKATI SWEDEN ANAYEPINGA UISLAMU AULIWA KWA KUPIGWA RISASI, WATANO WAKAMATWA
Na VENANCE JOHN Polisi wa nchini Sweden wamewakamata watu watano leo baada ya mwanaharakati wa kupinga Uislamu Salwan Momika kutoka...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_6912fd17d0e54d0d918659efd464d434~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_6912fd17d0e54d0d918659efd464d434~mv2.webp)
![UGANDA YATHIBITISHA MLIPUKO WA EBOLA MJI MKUU KAMPALA, MMOJA AMEFARIKI](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_6912fd17d0e54d0d918659efd464d434~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_6912fd17d0e54d0d918659efd464d434~mv2.webp)
UGANDA YATHIBITISHA MLIPUKO WA EBOLA MJI MKUU KAMPALA, MMOJA AMEFARIKI
NA VENANCE JOHN Uganda imethibitisha kuzuka kwa ugonjwa wa virusi vya Ebola katika mji mkuu Kampala, huku mgonjwa wa kwanza...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b9ba675cda4b419d8b9850b4d383301c~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_b9ba675cda4b419d8b9850b4d383301c~mv2.webp)
![ZIMAMOTO WAFANIKIWA KUUDHIBITI MOTO KATIKA JENGO LENYE OFISI ZA TRA DAR](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b9ba675cda4b419d8b9850b4d383301c~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_b9ba675cda4b419d8b9850b4d383301c~mv2.webp)
ZIMAMOTO WAFANIKIWA KUUDHIBITI MOTO KATIKA JENGO LENYE OFISI ZA TRA DAR
Na VENANCE JOHN Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa jijini Dar es Salaam limefanikiwa kuudhibiti moto uliozuka katika jengo lenye ofisi...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_d25634fc1f5a49af90cdd311ace8d370~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_d25634fc1f5a49af90cdd311ace8d370~mv2.webp)
![KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 – KAPINGA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_d25634fc1f5a49af90cdd311ace8d370~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_d25634fc1f5a49af90cdd311ace8d370~mv2.webp)
KUUNGANISHA UMEME MAENEO YA VIJIJI NI ELFU 27 – KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_8042928281b2472e8dd31564785d8393~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_8042928281b2472e8dd31564785d8393~mv2.webp)
![META KULIPA DOLA MILIONI 25 KWA KUSIMAMISHA AKAUNTI ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM ZA TRUMP MWAKA 2021](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_8042928281b2472e8dd31564785d8393~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_8042928281b2472e8dd31564785d8393~mv2.webp)
META KULIPA DOLA MILIONI 25 KWA KUSIMAMISHA AKAUNTI ZA FACEBOOK NA INSTAGRAM ZA TRUMP MWAKA 2021
Na VENANCE JOHN Kampuni ya Meta jana imesema imekubali kulipa takribani dola milioni 25 kutatua kesi ya Rais Donald Trump juu ya...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97fe2b4698f94774acf393d8fc55b4bb~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_97fe2b4698f94774acf393d8fc55b4bb~mv2.webp)
![TRUMP ATIA SAINI KUFUTA VISA KWA WANAFUNZI WA WANAOUNGA MKONO PALESTINA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_97fe2b4698f94774acf393d8fc55b4bb~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_97fe2b4698f94774acf393d8fc55b4bb~mv2.webp)
TRUMP ATIA SAINI KUFUTA VISA KWA WANAFUNZI WA WANAOUNGA MKONO PALESTINA
Na VENANCE JOHN Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini amri ya utendaji hapo jana ya kukabiliana na chuki dhidi ya Wayahudi na...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a2b3d080ca344f04b1e2deec4f38b74f~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_a2b3d080ca344f04b1e2deec4f38b74f~mv2.webp)
![TOYOTA YAONGOZA KWA KUWA KAMPUNI ILIYOUZA MAGARI MENGI ZAIDI KWA MWAKA 2024](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a2b3d080ca344f04b1e2deec4f38b74f~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_a2b3d080ca344f04b1e2deec4f38b74f~mv2.webp)
TOYOTA YAONGOZA KWA KUWA KAMPUNI ILIYOUZA MAGARI MENGI ZAIDI KWA MWAKA 2024
Na VENANCE JOHN Kampuni ya Toyota Motor leo imesema mwaka jana wa 2024 iliuza magari milioni 10.8, na kubaki kuwa kampuni inayouza...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_37262dd4db5f4469ae1010dbcc943e4e~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_37262dd4db5f4469ae1010dbcc943e4e~mv2.webp)
![ALIYEENDESHA VITA YA KUMNG’OA ASSAD MADARAKANI ATANGAZWA KUWA RAIS WA SYRIA](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_37262dd4db5f4469ae1010dbcc943e4e~mv2.jpeg/v1/fill/w_305,h_305,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_37262dd4db5f4469ae1010dbcc943e4e~mv2.webp)
ALIYEENDESHA VITA YA KUMNG’OA ASSAD MADARAKANI ATANGAZWA KUWA RAIS WA SYRIA
Na VENANCE JOHN Kiongozi mkuu wa Syria, Ahmed al-Sharaa aliyeongoza vita ya kumwondoa madarakni rais wa Syria ametangazwa kuwa rais wa...
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.jpeg/v1/fill/w_250,h_250,fp_0.50_0.50,q_30,blur_30,enc_auto/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.webp)
![BABA AMUUA KWA RISASI BINTI YAKE KWA KUPOST VIDEO ZISIZO NA MAADILI TIKTOK](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.jpeg/v1/fill/w_306,h_306,fp_0.50_0.50,q_90,enc_auto/57c8da_f19e32f5d47a4e2b9b5f1037c4f26500~mv2.webp)
BABA AMUUA KWA RISASI BINTI YAKE KWA KUPOST VIDEO ZISIZO NA MAADILI TIKTOK
Na VENANCE JOHN Mwanamume mmoja ambaye hivi majuzi aliirudisha familia yake nchini Pakistan kutoka Marekani jana Jumatano amekiri...
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page