top of page

ABIRIA ASIYETUMIA NYAMA (VEGAN) AKASIRIKA KUPEWA NDIZI MOJA TU KAMA MLO WA SAFARI YOTE YA SAA 7..

Abiria mmoja aliyekuwa kwenye ndege ya shirika la ndege la Japan alikasirika alipopokea ndizi moja kama mlo wake wa mboga mboga na vijiti vya kulia kula navyo ikiwemo kijiko na uma.




Kris Chari alikuwa akisafiri kutoka Jakarta, Indonesia, kuelekea Tokyo wakati aliagiza chakula cha mboga mboga kwa maana yeye ni Vegan (Mtu asiyetumia nyama) katika safari hiyo ya saa saba lakini aliambulia ndizi mbivu moja tu.

Chari aliripoti mlo wake huo aliopewa wa kukatisha tamaa kwenye jukwaa la usafiri wa anga la Flyer Talk, akisema alifikiri ni vitafunio vya kabla ya kifungua kinywa si mlo mzima ila matokeo yake ikawa mazima hadi mwisho wa safari.

Kitu gani kimewahi kukukwaza safarini juu ya suala la mlo?

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page