Fahamu nchi ya Afrika Kusini inaongoza Afrika kwa kuwa na mabilionea 37,400, ikifuatiwa na Misri yenye 15,600, huku Nigeria ikishika nafasi ya tatu kwa kuwa na mabilionea 8,200.
Kwa mujibu wa Ripoti ya hivi karibuni ya Matajiri Afrika kutoka Henley & Partners, Kenya
imeshika nafasi ya nne ikiwa na mabilionea 7,200 na Morocco ya tano ikiwa na 6,800.
Nyingine ni Mauritius iliyo nafasi ya sita ikiwa na mabilionea 5,100, ikifuatiwa na Algeria namba saba kwa kuwa na mabilionea 2,800.
Ghana na Ethiopia zinashika nafasi ya nane na tisa zikiwa na mabilionea 2,700 kila moja na namba 10 ni Tanzania yenye mabilionea 2,300.
Via:BBC
コメント