top of page

AHMED ALLY AMENIKOSEA SANA ANATUMIA UMAARUFU WAKE KUNICHAFUA - RC SAID MTANDA

Kutoka kwenye mahojiano na kituo cha Crown FM mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda amefunguka haya


""Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga"

"Kwani mimi ni kiongozi wa kwanza kuwa shabiki wa Yanga?, Wao wakinichulia mimi kama shabiki wa Yanga wananikosea, mimi nilikuwa natekeleza majukumu yangu kama Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na sio shabiki wa Yanga."- Said Mtanda.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page