top of page

AJALI YAUA 15 ARUSHA

AJALI YAUA 15 ARUSHA

Taarifa zilizotufikia mezani hivi punde zinaeleza kuwa Watu 15 wamefariki dunia, na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari la mizigo kufeli breki, na kugonga magari matatu, ikiwemo gari lililobeba wageni waliokuwa wanakwenda uwanja wa ndege, Hiace ya abiria pamoja na gari dogo binafsi, kwenye makutano ya barabarani ya Afrika Mashariki Arumeru mkoani Arusha.



Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page