top of page

AJIUA BAADA YA MARAFIKI ZAKE KUMWAMBIA HAWEZI KUPIGANA HUKU WAKIMCHEKA...

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, kutoka nchini Kenya timu ya kudhibiti majanga inaendelea na msako wa kumtafuta mwanaume anayedaiwa kuruka kwenye mto uliokuwa



umejaa maji baada ya kudhihakiwa na marafiki zake baa wakiwa wanakunywa pombe.

Inaelezwa kwamba marafiki zake marehemu walikuwa wakimcheka kutokana na uwezo wake mdogo wa kupigana, hali iliyomfanya ajisikie vibaya na kufikia hatua ya kujirusha ajiue.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page