Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoani Rukwa akisaidiana na wananchi kumuokoa Iddi Nasibu baada ya mkono wake kubanwa na mashine ya kukamulia Juisi ya Miwa, tukio hilo limetokea Kata ya Katandala Manispaa ya Sumbawanga Mkoani humo Januari 16, 2025.
top of page
Radio on air
Msasa Media
Follow, like, comment, and share
Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam
bottom of page
Comments