Staa wa muziki wa Bongo Fleva Jay Melody anayefanya vyema sana kwa sasa ameachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la Therapy ambapo ina takribani nyimbo 14 ndani
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_e6d9a54e60884ef9b06723cf6f7c5477~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_e6d9a54e60884ef9b06723cf6f7c5477~mv2.jpg)
yake. Siku chache zilizopita Melody alieza juu ya ujio wa albamu hiyo ambayo ametumia mwaka mzima kuitayarisha ambapo alisema
"I have been working on my album for a year now, na sasa niko tayari kwa dunia kuisikia
Siku zote nimekua na ndoto ya kufanya mziki mzuri zaidi, asante mungu kwa haya maarifa.
Album yangu ni tiba (therapy) when you hear it, it will make you feel good.
Can't wait to share the vibe with you guys Endelea ku enjoy mziki wa Jay"
Sasa albamu hiyo imetoka ikiwa na nyimbo zifuatazo
1. Bado frat Morissa, Karma, Ndelah Magic. Logic, Benson Hauzimi
2. Forever
3. Nahodha
4. Wapekee yangu
5. Usiniache feat Phina
6. Watu
7. Unanimaliza
8. Diamond
9. 18
10. Sielewi
11. Sio sawa
12. Siyawezi
13. Katika
14. Super star.
コメント