Taarifa mpya tulizozipokea usiku kutoka klabu ya Azam FC zinaeleza kuwa
Azam FC tunayo furaha kumtambulisha, Ever Meza, kama kiungo wetu mpya tukimnunua

kutoka klabu ya Leonnes ya Colombia.
Meza, raia wa Colombia aliyezaliwa Julai 21, 2000; alikuwa kwa mkopo kwenye klabu ya Alianza FC ya huko huko Colombia.
Amesaini mkataba wa miaka minne utakaomuweka Azam Complex hadi mwaka 2028.
Karibu sana Ever William Meza Mercado;
Bienvenido Ever Meza!"
Comentarios