Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki amemkaribisha mchezaji Clatous Chama
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_9d4cb49fc83f48219e08893f91e5bf31~mv2.jpg/v1/fill/w_147,h_147,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,blur_2,enc_auto/146e6d_9d4cb49fc83f48219e08893f91e5bf31~mv2.jpg)
ambaye amesajiliwa na klabu ya Yanga SC akitokea Simba SC kupitia ukurasa wa Instagram wa Aziz kwenye upande wa Insta Story ameandika
"Furaha iliyoje asubuhi hii karibu Magician"
Msasa Tunapewa nguvu na Basi Bora la @safariachimwene safiri kila Siku Dar - Mbeya - Chunya. @achimwene_safari_luxurybus @achimwene_business