Mwanamitindo Hamisa Mobetto siku za hivi karibuni amekuwa akionekana kuwa karibu sana
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_8cb013e4e31f42e3a4eb65fd8e74cd42~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_8cb013e4e31f42e3a4eb65fd8e74cd42~mv2.jpg)
na Mchezaji wa Yanga SC Aziz Ki jambo lililoacha maswali mengi kuna nini kati yao?.
Sasa kwenye mahojiano na kituo cha Zamaradi Tv ameulizwa juu ya ukaribu wao ambapo Hamisa amesema Aziz ni rafiki yake tu na wala si mpenzi wake kama wengi wanavyodhani kwani hata hivyo yeye ana marafiki wengi tu wa kiume.
Aidha Hamisa ameongeza kuwa kwa sasa yupo Single na ana enjoy maisha yake ya kuwa pembeni ya penzi kwa hivi sasa.
Comments