Mtangazaji Mwijaku alisema kama Simba itafungwa na kutolewa na Yanga SC nusu fainali basi Afisa Habari wao Allh Kamwe amchukue mke wake.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_0d8d97e5ab2f471e99b08015e640a41f~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_0d8d97e5ab2f471e99b08015e640a41f~mv2.jpg)
Sasa yametimia Ally Kamwe amepost picha hiyo kisha kaandika ,"Kumbe Mke anauma Bana.. Yani Hivi kina Juma Lokole wanavyompost post Mke wangu Mwenzenu Nasikia Wivu" Kisha Mwijaku akaja kusema, "#ALI #ALI MIMI NA WEWE NI NDUGU UNALIJUA HILO..! ACHA HUU UTANI HAUFAI UNANIUMIZA NDUGU YAKO."
Comments