top of page
Radio on air

BAADA YA THANK YOU YA BOCCO KITUO KINACHOFUATA NI SAIDO NTIBAZONKIZA..

Klabu ya Simba imemaliza na mchezaji Said Ntibazonkiza na rasmi imemshukuru kwa muda



wake aliotumikia klabu hiyo ambapo rasmi ameagwa.

Saido anaondoka Simba akiwa ameacha alama ikiwemo ya kuwa Top Scorer wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23 na pia ndani ya Simba kwa msimu huu uliotamatika 2023/24.

"Uongozi wa klabu unautangazia umma kuwa hatutaendelea kuwa na mchezaji wetu Saido Ntibazonkiza baada ya mkataba wake kumalizika." Taarifa iliyochapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa klabu ya Simba SC imeeleza.

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page