
Msanii na Mtangazaji wa Wasafi FM #BabaLevo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameweka wazi kupata kipigo akidai kuwa kapigwa na mzazi mwenzie "Mama Ruby"
Kupitia ukurasa wake wa Instagram amechapisha picha Iliyoonesha namna alivyochezea kipigo kutoka kwa Mama mtoto wake huyo na kiasi cha kujeruhiwa Mabegani na Kifuani ambapo ameandika "Mama Ruby amenipiga "
Msasa Online tunaendelea kufuatilia kujua nini hasa kimetokea baina yao kiasi cha kupelekea yote haya.
コメント