top of page

BABBI MUSIC APOKEA TUZO KUTOKA YOUTUBE...




Msanii wa muziki @babbi_music kutoka hapa Afrika Mashariki ambapo kwa sasa anafanya kazi zake nchini Marekani amefanikiwa kupokea tuzo kutoka kwenye mtandao wa YouTube baada ya kufanikiwa kufikisha Subscribers 100,000.

Mkali huyu amefanya vyema ngoma mbalimbali ikiwemo Kikomandoo, Ningisa akiwa na BM, Blessing, Best Friend akiwa na Anjella na sasa ana ngoma yake inayofanya vizuri ya All Night Long.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page