top of page

BAYER 04 LEVERKUSEN MABINGWA WAPYA WA BUNDESLIGA 2023/24...




Kutoka nchini Ujerumani Bayer 04 Leverkusen mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwao mwaka 1904.

Ingawa Ligi haijatamatika lakini hii inakujai baada ya ushindi wa leo ulioisha kwa matokeo ya Leverkusen 5-0 Bremen ambapo wameweza kufikisha pointi 79 ambazo hazitafikiwa na timu yoyote.

Comentarios


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page