
Msanii wa Bongo Fleva Beka Flavour ameweka wazi kuwa yeye na mama watoto wake Happy wapo mbioni kupata mtoto wa pili, ikiwa leo ni siku ya mfanano wa kuzaliwa kwa Happy Beka amefunguka haya
"Morning guys, kwa furaha kubwa niliyonayo napenda kumtakia kheri ya mfano wa siku yake ya kuzaliwa mama watoto wangu mama ake na @aaryan_bekaflavour happy birthday to you @happiee_reuter1 M/ Mungu akupe umri mrefu na baraka tele yote ya yote Asante kwa hii zawadi nyingine ya pili Namsubilia kwa hamu sanaaa, Je ni wa kike au wa kiume? Naomba mnisaidie kumuwishi siku yake ya kuzaliwa roho yangu mimi huyu mdada happy birthday tena @happiee_reuter1 @happiee_reuter1 nakupenda" aliandik
bekaflavour1
Kwa upande wake Happy nae alifunguka kwamba
"Familia inaongezekaa mwakani tutakua wanne Watabiri hilo tumbo lilivyokaa linaonekana lina mtoto wa kike au kiume ?! naogopa kumwangalia".
Comentários