top of page

BINADAMU APANDIKIZWA FIGO YA NGURUWE....

Unaambiwa Madaktari huko nchini Marekani wamefanikiwa kumpandikizia mgonjwa figo ya nguruwe kwa mafanikio makubwa. Upasuaji huo umefanyika katika hospitali ya Massachusetts



huko Boston Marekani. Mgonjwa huyo, mwanaume mwenye asili ya Kiafrika amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu na kwa sasa alikuwa anafanyiwa matibabu ya kusafisha damu hata hivyo kwa sasa madaktari walikuwa wanapata changamoto ya kupata…

See more

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page