top of page

BWANA RICK BINADAMU WA KWANZA KUPANDIKIZWA FIGO YA NGURUWE ARUHUSIWA KWENDA NYUMBANI




Siku kadhaa zilizopita Msasa Online tulikupasha juu ya mgonjwa wa kwanza kuweka Figo ya Nguruwe na tulikujuza kuwa yupo mbioni kuruhusiwa kwenda nyumbani sasa haya ni maneno yake ya kwanza akiruhusiwa kutoka hospitali kwenda nyumbani

"Wakati huu wa kuondoka hospitalini leo hii ni moja wapo ya hati safi zaidi za afya ambazo nimewahi kuwa nazo kwa muda mrefu maishani, ni moja ambayo nilitamani ije kwa miaka mingi na Sasa imekuwa ni ukweli na moja ya wakati wa furaha zaidi maishani mwangu."

Haya ni Maneno ya Bwana Rick Slayman, mpokeaji wa kwanza duniani wa upandikizaji wa figo ya nguruwe iliyobadilishwa vinasaba, ameruhusiwa kutoka hospitalini ikiwa ni wiki mbili baada ya upasuaji wake, Hospitali Kuu ya Massachusetts huko Marekani imesema.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page