Mwanadada Clara Luvanga anayekipiga kunako klabu ya Al Nassr ya Nchini Saudi Arabia
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_ad3be0b533f34ffcaa43d7a55aad8f32~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_ad3be0b533f34ffcaa43d7a55aad8f32~mv2.jpg)
amejiunga kwenye kambi ya Twiga Stars.
Timu hii ya Taifa ya Wanawake "Twiga Stars" wameanza mazoezi kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Sudan Kusini na Mali itakayochezwa mwisho wa mwezi huu.CLARA LUVANGA ATUA KWENYE
Comments