Kuna video inatrend kwenye mitandao ya kijamii ya Mfanyakazi wa ndani kutoka Nchini Mkenya anayefanya kazi nchini Saudi Arabia kwani amewaacha watu wengi wakiwa midomo wazi

baada ya kuonyesha nyoka mkubwa wa rangi ya njano kwenye nyumba ya mwajiri wake.
Nyoka huyo alionekana akitambaa jikoni wakati Dada huyo alipokuwa akifanya kazi zake za nyumbani huku ikionekena ni kitu cha kawaida tu kwani hakua na wasiwasi wowote. Nyoka huyo anafugwa na mwajiri wake.
Je wewe ungeweza kuishi humo ndani? Na kama ungekubali basi wakulipe ngapi?
Comments