top of page

DAR CITY WAONGOZA KUFUATILIWA INSTAGRAM TEAM ZA KIKAPU, WAKIWA WANAONGOZA LIGI

Club ya Dar City @darcitybasketball kwa sasa inaongoza Ligi ya mpira wa kikapu Dar es Salaam inayofahamika kama Basketbol Daresalaam Lig ikiwa na Point 29 wakifuatiwa na timu



ya Outsiders ambao na wao wanapoint 29

@darcitybasketball mpaka sasa ndio Timu ya mpira wa kikapu inayoongoza kwa kufuatiliwa kupitia mtandao wa Instagram kutoka Tanzania ikishika nafasi ya 10 katika list ya timu nyingine za kikapu afrika mashariki na kati huku timu kutoka Rwanda zikiongoza

Ligi bado Inaendelea ikiwa anamalizia mzunguko wa kwanza kisha wapili kuanza na kuendelea mpaka itakapofika mwezi wa Nane mwaka huu.




Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page