a Godson Mbilinyi
Sikio lako likae tayari kwa kusikia wakali wa muziki kutoka Tanzania yaani Alikiba, Mbosso, Zuchu, JayMelody, Harmonize na wengine wengi ndani ya albamu mpya ya @darassacmg255 iitwayo TAKE AWAY THE PAIN.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a9cc662f0c0c4ffb9ca43371cb94bac5~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_a9cc662f0c0c4ffb9ca43371cb94bac5~mv2.jpeg)
Album hiyo yenye nyimbo 15 tayari Darassa ameweka wazi tracklist ya ngoma hizo akiambatanisha na ujumbe huu:
"HII NI TIBA MBADALA YA KIBURUDANI. HII NI ALBAM YA KARNE THIS IS RECREATION ALTERNATIVE THERAPY.
THIS IS THE ALBUM OF THE CENTURY
Asante sana my brothers and sisters kwa kushirikiana na sisi, kwa pamoja tumetengeza hichi kitu bora sana kwa watu wetu. Mmetupa nguvu, moyo, muda pamoja na ujuzi wenu tunafahamu ni kitu cha thamani sana kwa mtu kutoa...
TAКЕ AWAY THE PAIN TRACKLIST
00; Intro Take Away The Pain
01: Sipping Waves Smoking Life
02: Wolo
03: Pull Up Feat Kondela
04: Breakdown Feat Alikiba
05: Bala Bala
06: Mazoea Feat Harmonize
07: Love Is Crazy Feat Zac Brown & Kondela (CMG)
08: Romeo Feat Zuchu
09: Rock Of My Heart Feat Zac Brown & Kondela (CMG)
10: Looking For Love Feat Mbosso
11: Down For You Feat Bien
12: Tulia na Mimi Feat Jay Melody
13: Sina Pressure Feat Jovial
14: Channel
15: Reasonable Man
Albamu inatarajiwa kutoka Februari 7 mwaka huu 2025.
コメント