top of page

DAWASA YASHIRIKI WIKI YA MAZINGIRA KITAIFA DODOMA

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA ni miongoni mwa washiriki wa Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani inayofanyika tarehe 1- 5 Juni, 2024. Mkoani



Dodoma.

Wiki ya Mazingira inaadhimishwa katika viwanja vya Jakaya Kikwete, na banda la DAWASA linapatikana katika banda la Wizara ya Maji na Taasisi zake.

Kauli Mbiu ni Urejeshwaji wa ardhi iliyoharibika, na ustahimilivu wa hali ya jangwa na ukame

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page