top of page

DED NYASA AWATAKA VIONGOZI NA WANANCHI KUDUMISHA USHIRIKIANO...


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid Khalif amewataka Viongozi na wananchi kushirikiana Ili kuiletea Nyasa maendeleo.

Ameyasema hayo wakati akiongea katika Kikao Cha Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kujadili Taarifa za Robo ya tatu 2023/2024 kilichoketi hivi karibuni katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa.

Commentaires


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page