top of page

DIAMOND AMTIKISA MAJIZZO AMBEBA MUSA KIPANYA KUTOKA EFM AMTUA NDANI YA WASAFI FM

Staa wa Bongo na Mkurugenzi wa Wasafi Media Fleva Diamond Platnumz amefanya umafia baada ya kutua kwenye kituo cha Francis Majizzo cha Efm na kumchukua Mtangazaji maarufu wa kipindi cha Asubuhi Musa Kipanya aliyekuwa akitangaza kipindi cha Joto la Asubuhi.


Tayari Kipanya ametambulishwa Wasafi Fm Asubuhi hii ambapo atakuwa anafanya kipindi cha Good Morning akiwa na akina Salma Dacotha, Zembwela, Maulid Kitenge na Gerald Hando. Hii inaacha uwazi Efm hususani kwenye muunganiko mzuri uliokuwepo kati ya Musa Kipanya na Masanja Mkandamizaji.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page