Linapokuja suala la kutupia staa wa Bongo Fleva Diamond Platnumz huwa hataki utani kabisa yupo tayari kutumia mamilioni ilimradi tu apendeze.

Sasa kuna video na picha staa huyu ameonekana akiwa huko Paris Ufaransa amevaaa kiatu cha Adidas Yeezy Nsltd Boot kilichotoka November 5, 2021 kwa rangi ya pekee ya "khaki", thamani yake ni Dola 1000 mpaka 1500, kutegemeana na website uliyonunulia na kama ni mpya au kimevaliwa, Kimevaliwa na mastaa wakubwa kama Offset, Justin bieber na wengineo.
Je wewe ni kiatu cha bei gani kubwa ulichowahi kuvaa?
Comments