![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_b5a933a258344fc4b42b23f6218aabdc~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_b5a933a258344fc4b42b23f6218aabdc~mv2.jpeg)
Nyota wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz
@diamondplatnumz ameandika historia mpya Afrika Mashariki ya kuwa msanii Wa kwanz kulipwa Dola Milioni 1 sawa na (TSH BILIONI 2.3/=) Kwa ajili ya kutumbuiza kwenye Harusi tu.
Simba la Masimba amethibitisha kulipwa kiasi hicho cha Pesa Kwenye Harusi moja huko Mjini Mombasa nchini Kenya leo kupitia ukurasa wake wa Instagram upande wa Insta Story ambapo ameandika
"$1M For Wedding Show In Mombasa" Diamond Platnumz
Comments