SALLAM SK Pokea taarifa kutoka kwa Meneja wa msanii Diamond Platinumz Bwana Sallam

SK ni kwamba ameendelea kusisitiza kuwa dau la msanii wake @diamondplatnumz kwa sasa kufanya show sio kinyonge pesa ambayo mtu anapsa kuandaa siyo chini ya Dola za Marekani 100,000 ambayo ni kama milioni 255 kwa sasa.
Comments