top of page

DIDDY AACHA FAMILIA AKIMBIA NCHINI KWAO...




DIDDY AACHA FAMILIA AKIMBIA NCHINI KWAO...

Kutoka Marekani imeelezwa kuwa Rapa Diddy ameripotiwa kutoroka na kukimbilia nchini humo ambapo ndege yake binafsi imeonekana ikikata anga na kuelekea visiwa vya Carribean muda mchache baada ya maofisa usalama kuvamia nyumba zake za Los Angeles na Miami usiku wa kuamkia leo. Kwenye msako huo ambao ulifanyika kwa mshtukizo, Maofisa usalama waliwakamata watoto wawili wa Diddy na kuwatia nguvuni hadi sasa inasubiriwa kuona kitakochoendelea. Endelea kuwa nasi.

Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page