top of page

DIVA AMCHANA WAKAZI KISA ZUCHU "ANAWEZAKUKUAJILI NA KUKULIPA"

Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi Wasafi FM @divatheebawse kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka ujumbe huu kwa rapa @wakazi kisa @officialzuchu


"Hivi huonagi aibu kila siku unagombana na watoto wa kike @wakazi as far as ikno Zuchu anaweza kukuajiri na kukulipa mshahara na amekukuta ktk game kwanza yan we kaka wa ajabu kweli... all you do is bully bully bully... mtu mzima ovyo kabisa ww tuachie zuchu wetu bwana... huu ni wakati wake wako ushauchezea ushaisha huna jipya no wonder kila siku you talk ish kuhusu watu yan huna jipya uso na haya usojua vibaya Yan battle zako zote ni wanawake... stop talking about @officialzuchu bwana wewe unaboa let her be! She is number 1 female artist in e.africa na africa nzima kwa sasa kaa kwa kutulia bro Pambana na Muziki wako na maisha yako.... ili uzungumziwe lazima uzungumzie watu waliokuacha mbali kisanaa. Kwan huna nyimbo au album au shows au ata biashara ya ku ku keep busy? Una kirangaaaa we mwana mauzauza"

Kommentarer


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page