top of page
Radio on air

DUA YA PAMOJA SIKUKUU YA EID AL ADHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024

Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page