Anaandika @dullamakabila
"@majizzo BABA ANGU LEO NIMEWAZA KIUPANA NIMEGUNDUA NIMEKUKOSEA SANΑ ΜΑΝΕΝΟ NILIYOANDIKA MTANDAONI ΜΙΕΖΙ ΚADHAA NYUMA KUHUSIANA NA WEWE YALILETA TAFSIRI YA UTOVU WA NIDHAMU KWAKO NA KWA TAASISI NZIMA NA WAFANYA
![](https://static.wixstatic.com/media/146e6d_f4b0b2c08e644dcda98e625d88800d79~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/146e6d_f4b0b2c08e644dcda98e625d88800d79~mv2.jpg)
KAZI KWA UJUMLA KIUKWELI NAJIONA MKOSEFU SANA TENA SANA HASA KWAKO MTU AMBAE ULIONA KIPAJI CHANGU NA UKANITOA NYUMBANI KWETU KUTOKA KWENYE KULALA CHUMBA KIMOJA NA DADA ZANGU NA KUNIPANGIA NYUMBA NA KUNIFANYIA PROMO USIKU NA MCHANA MPAKA MUNGU ALIPOJAALIA NIKAWA STAR KWENYE HUU ULIMWENGU TENA ULIJITOLEA KUNISAIDIA BILA MKATABA WALA KUTAKA MASLAHI YEYOTE KUTOKA KWANGU KIUKWELI NIMEKOSEA SANA NAOMBA UNISAMEHE MZEE WANGU MIMI NI MTOTO WAKO NA SIDHANI KAMA NI UJINGA KWA MTOTO KUMUANGUKIA BABA AKE ANAPOKOSEA MAANA NAAMINI MAKOSA TUMEUMBIWA BINADAMU NA KUKOSEA NDIO KUJIFUNZA MZEE WANGU NAOMBA UNISAMEHE SANA BUSARA ZAKO NA MAARIFA YAKO BADO NAVIHITAJI SANA KWENYE SAFARI YANGU NA NAJUA PAMOJA NAKUKOSEA KOTE NAKOKUKOSEAGA HAUJAWAHI KUFURAHIA ANGUKO LANGU NDOMANA KIPO KIPINDI NILIKUA NADHANI KWA VILE HATUPO SAWA BASI UTAKUA NA CHUKI ΝΑ ΜΙΜΙ KUMBE ATA SHOW NILIZOKUA NAFANYA WEWE NDIO ULIKUA UNAPITISHA JINA LANGU BILA MIMI KUJUA NA ΑΤΑ WEWE WALA HAUKUTAKA NIJUE MZEE NAOMBA UNISAMEHE SANA WEWE NDIO BABA ANGU NA WEWE NDIO MLEZI WANGU NA SIO TU WEWE ATA NDUGU ZANGU WOTE NILOWAKOSEA NAOMBA MNISAMEHE @samio_love NAOMBA UNISAMEHE@meneja_kandoro NAOMBA UNISAMEHE @ashamangatz NAOMBA UNISAMEHEA @bigdady_dizzo NAOMBA UNISAMEHE @sseboefm
NAOMBA UNISAMEHE @hermyb NAOMBA UNISAMEHE
SANA NA WAFANYA KAZI WOTE WA @efmtanzania NA
MASHABIKI ZANGU AMBAO HAMKUPENDEZWA NA
KILICHOTOKEA NAOMBA MNISAMEHE PIA.
NAWAAHIDI KUWA SWALA KAMA HILI HALITAJIRUDIA TENA KWENYE MAISHA YANGU YA MZIKI A NYUMBANI NI SEHEMU YEYOTE AMBAYO UKIWEPO UNAPATA FURAHA NA AMANI".
Comments