![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_f37c0a0142974697b919ed4c73a0e773~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_f37c0a0142974697b919ed4c73a0e773~mv2.jpg)
Msanii wa Singeli Dulla Makabila ameweka wazi taarifa ya kupata ajali ya gari kwa nyakati mbili tofauti akielekea kwenye shoo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka haya
"JANA TULIKUWA NA SHOW TANGA WAKATI TUNAENDA NJIANI TULIPATA AJALI NA ALPHARD IKAHARIBIKA TUKAIACHA TANGA NA LEO TENA WAKATI TUNARUDI TUMECHUKUA GARI NYINGINE KWAAJIRI YA KUWAHI NDEGE YA MCHANA MAANA KESHO TUNA SHOW YA MKESHA WA MWENGE MOSHI TUMEFIKA BUNJU TUMEPATA AJALI TENA." Makabila.
Kommentit