wakali wa muziki Davido wa Nigeria na Rayvanny wa Tanzania wakiwa wamekutana huko
![](https://static.wixstatic.com/media/ca9c0e_177b85958bd343f1acb96c32bdef8de7~mv2.jpg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/ca9c0e_177b85958bd343f1acb96c32bdef8de7~mv2.jpg)
Bondeni kwa Mandela Afrika Kusini.
Davido amewahi kushirikiana na wasanii wa Tanzania kwa kufanya kazi pamoja na wasanii kama Diamond Platnumz na Dayna Nyange, Je ungetamani sasa iwe zamu ya Rayvanny na Davido? Tujuze.
Kommentit