top of page

ELIZABETH ANAEDAIWA KUMUUA MUMEWE ALIBAINI ANA MTOTO NJE YA NDOA



Kutoka mkoani Mara Imeelezwa kuwa chanzo cha ugomvi uliosababisha kuuawa kwa Julius Rubambi (38), ambaye ni Ofisa wa Kilimo katika Kata ya Neruma wilayani Bunda mkoani Mara, ambaye anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na kung'atwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi, na mkewe aitwaye Elizabeth Stephen (30), ni baaada ya mkewe huyo kubaini kuwa mumewe amezaa nje ya ndoa.


Comments


Msasa Media
  • Instagram
  • Facebook
  • X
  • Youtube
  • TikTok

Follow, like, comment, and share

Tel. +255758379300
Mbezi Dar es saalam

bottom of page