Kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Meneja habari na mawasiliano Simba SC Ahmed Ally amefunguka haya
"Nyuma mwiko wanaumia sana na mafanikio ya Simba, Sasa wanajificha kwenye kivuli cha vurugu, Eti wanajifanya wana uchungu na Uwanja, mambo ya viti tuachieni sisi na Serikali, Nyie endeleeeni kuugulia point 6 za Mnyama na point yenu isiyogawanyikaaa".
Comments