
Siku za hivi karibuni mchekeshaji maarufu Eric Omondi wa Kenya amekua akijitoa kusaidia wenye watu uhuitaji ambapo sasa amechangisha Ksh 657k sawa na Milioni 13 za Tanzania na kumfungulia Duka Mwanaume aliyenyanyaswa na Mwenye Duka Kwa Kudaiwa Ksh 100 zake ambazo ni sawa na Elfu 2 za Tanzania.
Omondi aliguswa na video iliyosambaa mtandaoni Baba huyo na mtoto wake wakizalilishwa kwa kushikwa shati akipewa kipigo na kuambiwa alipe pesa katika sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi.
See less
Commentaires