Muigizaji na muongoza filamu nchini Tanzania Idris Sultan ameandika haya kwenye kurasa yake ya Mtandao wa ‘X’ zamani Twitter juu ya Tamasha la Land Rover Festival inayoendelea kufanyika jijini Arusha.
![](https://static.wixstatic.com/media/57c8da_a50add4b5c134623b942f0b1b54f8eda~mv2.jpeg/v1/fill/w_980,h_980,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/57c8da_a50add4b5c134623b942f0b1b54f8eda~mv2.jpeg)
Idris ameandika, “Nimeona mijadala ya maswali ya faida za festival ya Arusha, kiukweli haina haja hata ya kusumbuana kuzisema. Mbona it’s so open unless mtu asitake tuu kuelewa. Arusha is the hub of Tourism sio Tanzania tuu bali Africa nzima.
Amsterdam- Sex tourism
Swaziland - Wedding tourism
China- Walking tourism
India - Meditation tourism
Switzerland - Economic tourism
Usa - Film tourism
Uk - Castle’s tourism
Greece - Philosophy tourism
Paris - Love tourism
I love the creativity imefanywa na RC Paul Makonda Arusha. Hii iwe inspiration kwa wengi kuanzisha vitu tofauti kama hivi.
Yafuatayo yanatokea Arusha sasahivi;
1. Hotel zitajaa
2. Appartments zitajaa
3. Restaurants zitauza vyakula
4. Maduka na supermarket yatauza
5. Watalii wataona opportunities to invest in Arusha
6. Miji ya pembeni ya Arusha itajengeka
7. Labda kampuni sasa itaamua kufungua kiwanda chake Arusha tuanze kufanya export ya magari na sisi.
Hakuna njia moja ya mafanikio.”
Comments